Naomba kujuzwa dawa ya macho kuwasha

Naomba kujuzwa dawa ya macho kuwasha

Mcheza Piano

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
562
Reaction score
1,339
Naelekea duka la dawa. Nikanunue dawa gani na bei ikoje?

Usiniambié habari za kwenda hospitali, we taja dawa.

Wengine tuliiba mashuka ya hospitali tukienda tu tunazua taharuki.
 
We hutaki msaada unaleta majuaji,msaada gani unaomba kibabe hivyo
 
Back
Top Bottom