Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

Hivi ukienda na gari yako (landcruiser) gharama zinakuwaje?
 
Hivi Tarangire na Ngorongoro wapi kuna wanyama wengi maana nimefika Ngoro2 ila Tarangire sijaenda.

Kutoka Arusha wapi ni karibu namaani shaweze kutoka Ar nikatalii na kugeuza kuepuka kulipa $500?
Tarangile ni Elephant Paradise. Ukitaka kuona Tembo nenda Tarangile. Ila uwe na timing nzuri, maana kuna wakati panakuwa pakavu kabisa ila kuna wakati utakutana na zaidi ya 100. Pia tarangile kuna chances za kuweza kuwaona Chui.
Ngorongoro ni animal farm.
 
Back
Top Bottom