Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Je raman yake unayo au unataka rondmly approximation na jins ya kuminimize cost tu
Raman hii hapa
IMG_20220619_204724_616.jpg
 
I think unahitaji kusema zaidi unaijenga wapi maana gharama za Dar ni tofauti na mbeya, Moshi au Dodoma.
 
Wataalam naomba rough estimate ya msingi wa kijumba chenye GHOROFA MOJA,ukubwa wake ni 7680x9270.

Gharama ya msingi hadi kufunga mkanda ni kiasi gani cha fedha,Eneo ni flat kabisa.

Je, hatua au mbinu gani unaweza kufanya kupunguza gharama zisizo za lazima?
Natumia uzoefu wangu maana vipimo havionekani vizuri. Hapo roughly andaa 15M mpaka 17M kutegemea na mahali ulipo bei ya materials ikoje na utatumia njia ipi kujenga i.e mkandarasi (kampuni), fundi maiko au utanunua materials na kumtafuta mtaalam (engineers) akujengee.
Vipimo vingeonekana ningekusaidia vizuri zaidi mkuu.
 
Ni kweli chuma iko juu Sana, Ila 50M ni mbali Sana mkuu. Hiyo ramani yake hata sio kubwa kivile.
ushauri tu awe na hiyo kitu. kuna chuma zinasukwa chini (base) na kuzunguka msigi wote, kuna tofali zinazikwa kozi zaidi ya saba za kulaza, kuna mkanda unapigwa mzunguko wote, kuna zege chini kwenye base na huo mkanda, kuna kifusi cha kujaza, kuna framework za kufunga na mambo ya mafundi. Basically, ata cement. mchanga, na kokoto zote zimepanda
 
Back
Top Bottom