Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Kabisa unajenga bila columns. Kinachofanyika ni kwamba tofali zinakuwa 20 kwa mfuko mmoja
Okay. Kuna tofali huwa naziona kama zina kokoto hivi.
Kwahio hapa kuta ndio zinabeba mzigo?
 
No chance,wrong estimates
Unafikiri ni nini hufanya gharama za mradi zikatofautiana hata kama ni design inafanana kwa kila kitu?
Okay , let's say niko wrong. Changia wazo kumsaidia mleta maada na wengine pia.
 
Back
Top Bottom