Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Wakuu, Sorry kwa kupotea kidigo..... Nimemaliza kila kitu na kwa sasa linatumika, Ningeweka picha lakini sidhani kama itakuwa busara....
Mkuu naomba kujua mambo kadhaa, kwa hiyo dimensions yako ya 7X9
1. Gharama za fundi kujenga Msingi
2.Umetumia nguzo ngapi
3. Gharama za fundi kuwepa nguzo
4. Nguzo umeweka nondo size gani
 
Mkuu hizi taarifa mpaka niangalie kwenye document lakini nilishazitoa huko nyuma
Ila nondo nimetumia 12mm
Mkuu naomba kujua mambo kadhaa, kwa hiyo dimensions yako ya 7X9
1. Gharama za fundi kujenga Msingi
2.Umetumia nguzo ngapi
3. Gharama za fundi kuwepa nguzo
4. Nguzo umeweka nondo size gani
 
Karibuni Nile house designs!!

kwa sasa tumeboresha huduma zetu Ili kukufikia mteja zaidi, tunatengeneza michoro na muonekano (3d) wa nyumba, majiko, sebule, bars, mandhari( landscape ) na huduma yoyote unayotaka kuanzisha,
Wasiliana nasi Leo tukupe huduma unayohitaji,

Call/Whatsapp 0715477041
 
Natumia uzoefu wangu maana vipimo havionekani vizuri. Hapo roughly andaa 15M mpaka 17M kutegemea na mahali ulipo bei ya materials ikoje na utatumia njia ipi kujenga i.e mkandarasi (kampuni), fundi maiko au utanunua materials na kumtafuta mtaalam (engineers) akujengee.
Vipimo vingeonekana ningekusaidia vizuri zaidi mkuu.
Huo msingi au kupaua? Kwa kuangalia ramani bila kujali anajengea wapi gharama za msingi sio Chini 30M...Variation ni Kati ya 30M na 45M,itategemea na usimamizi,wapi ananunua material, profile ya eneo la ujenzi na namna alivyoongea na engineer/fundi
 
MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Tegemea mtikisiko mkubwa baadae.Ukimaliza uanze kuishi peke yako usije kuleta maafa Kwa familia
 
Duuhh Nyingi mno hiyo, labda itategemea finishing Yako itakuwaje, sisi ni wazee wa tyles za kawaida na finishing za bei poa
Nyie danganyaneni. Mtaangukiwa na vijighorofa uchwara Kwa kufosi mambo😆😆..Mimi nawachora! Ukiwa masikini usijenge ghorofa utajaanguliwa na kifusi bure hapo baadae
 
Tegemea mtikisiko mkubwa baadae.Ukimaliza uanze kuishi peke yako usije kuleta maafa Kwa familia
Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.
 
Wapi na mwaka gani?
Sikubishii ila taarifa kama hizo zinasaidia kupata uhalisia wa gharama.
 
Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.
Mkuu hili jengo lilikuwa na nguzo ngapi? lilikuwa ni jengo la makazi? au ilikuwa ni fremu?
 
Kaka unadharau 80m2 any way ilikuwa la makazi tena vyumba vitatu vikubwa kimoja chini, living room na kitchen viwili juu na balcony
 
Samahani sana mkuu sikuwa na nia mbaya nilipouliza kama ilikuwa ni fremu nisamehe kaka nilitaka tu kupata maarifa wala sikuwa na nia ya kutweza ulichoandika so samahani sana.
 
Cheka kigamboni june 2024
Ni karibu na ufukwe wa bahari (chini ya 1/2km kutoka ufukweni)?
Kama ni hivyo, je kuna changamoto ya unyevunyevu, chumvi chumvi au udongo tofauti na mazingira tuliyozoea?
Tupe uzoefu wako, kuna jamaa fulani wanafikiria kuja kujenga mazingira ya Karibu na fukwe, ila hawajui changamoto za mazingira kama zina tofauti kubwa na sehemu zingine.
 
Samahani sana mkuu sikuwa na nia mbaya nilipouliza kama ilikuwa ni fremu nisamehe kaka nilitaka tu kupata maarifa wala sikuwa na nia ya kutweza ulichoandika so samahani sana.
Sawa mkuu nothing serious
 
Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.
Bora wenye uzoefu mnatoa experience, kaka hili jengo lilikuwa na nguzo ngapi?
 
Siwezi
Ni karibu na ufukwe wa bahari (chini ya 1/2km kutoka ufukweni)?
Kama ni hivyo, je kuna changamoto ya unyevunyevu, chumvi chumvi au udongo tofauti na mazingira tuliyozoea?
Tupe uzoefu wako, kuna jamaa fulani wanafikiria kuja kujenga mazingira ya Karibu na fukwe, ila hawajui changamoto za mazingira kama zina tofauti kubwa na sehemu zingine.
kukadiria kwa km ila zinaweza kufika 2 mpaka 3 ni njia ya kuelekea kisarawe II kutokea cheka ni eneo tambarare lenye mchanga sana
 
Back
Top Bottom