Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

16 mm zilikua kwa ajili ya nguzo na 12mm zilikukwa kwa ajili ya
Shukrani Bro nitakuja inbox nataka nipate uzoefu maana nina site yangu kigamboni sasa na nitakuwa na project ya ghorofa baadae
So usinichoke
 
Shukrani Bro nitakuja inbox nataka nipate uzoefu maana nina site yangu kigamboni sasa na nitakuwa na project ya ghorofa baadae
So usinichoke
Usijali mimi pia nilipata experience nimetamani pia kujenga niliwekwa kama msimamizi hasa kwenye pesa niligundua kitu muhimu sana chukua quotation ya vifaa kwa fundi nenda mwenyewe dukani BEI ya vitu ilileta difference kubwa ENGINEER alikodiwa akashauri vibarua wakachimba nyumba ikanyanyuliwa kama masihara NONDO zilienda nyingi kwenye slab lakini baada ya slab ilikuwa slope
 
Shukrani sana kaka kwa moyo wako wa kukubali kutoa uzoefu Mungu akulinde maana unakuwa/utakuwa msaada kwa wengi maana dah nikisomaga comments za waja ni kama vile kujenga ghorofa ni jambo la kutisha wakati si hivyo.
 
Natumia uzoefu wangu maana vipimo havionekani vizuri. Hapo roughly andaa 15M mpaka 17M kutegemea na mahali ulipo bei ya materials ikoje na utatumia njia ipi kujenga i.e mkandarasi (kampuni), fundi maiko au utanunua materials na kumtafuta mtaalam (engineers) akujengee.
Vipimo vingeonekana ningekusaidia vizuri zaidi mkuu.
No chance,wrong estimates
 
Naona huu uzi umekuwa msaada kwa watu wengi. Kwa kifupi umefungua watu macho.
Sure Bro, unajua tatizo baadhi ya waTz huvipa thamani za juu sana vitu vyao ilhali kiuhalisia siyo hivyo sasa utakuta mtu unataka upate tu idea ya gharama ya kitu fulani mf .ghorofa ndogo simple ya makazi (unakuta na anayehitaji msaada katoa na details za nyumba yenyewe kwa maana ya SQM) sasa utakuta mchangiaji mwingine anataja tu hapo kwenye foundation jiandae na 100M
Sasa aliyeomba msaada anaanza kuwaza dah msingi tu 100M dah kichwani zinakuja hesabu za kiMwijaku 1.3 B mpaka kumaliza loh mwishowe anakata tamaa.
 
Back
Top Bottom