Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mpaka ghorofa ya 7😂😂😂!Msingi peke yake au mpaka kumaliza ujenzi wote mpaka ya juu?
Hiyo fifty mm napatisha Hadi juuMsingi peke yake au mpaka kumaliza ujenzi wote mpaka ya juu?
ushauri tu awe na hiyo kitu. kuna chuma zinasukwa chini (base) na kuzunguka msigi wote, kuna tofali zinazikwa kozi zaidi ya saba za kulaza, kuna mkanda unapigwa mzunguko wote, kuna zege chini kwenye base na huo mkanda, kuna kifusi cha kujaza, kuna framework za kufunga na mambo ya mafundi. Basically, ata cement. mchanga, na kokoto zote zimepanda
Mimi picha hazifunguki jamani
Depending na size ya jengo yesNilichojifunza hapa ukiwa na 35 million cash unamwaga mpaka slap,
Wataalam naomba rough estimate ya msingi wa kijumba chenye GHOROFA MOJA, ukubwa wake ni 7680x9270.
Gharama ya msingi hadi kufunga mkanda ni kiasi gani cha fedha, Eneo ni flat kabisa.
Je, hatua au mbinu gani unaweza kufanya kupunguza gharama zisizo za lazima?
Kwa 17m msingi, hilo ghorofa litaanguka mara baada ya kukamilika. Huyo jamaa aliyesema 50m yawezekana (kwa kutumia Wataalam sio Fundi Maiko). Maana binafsi nilitumia 40m kabla bei ya Nondo haijaongezeka.Natumia uzoefu wangu maana vipimo havionekani vizuri. Hapo roughly andaa 15M mpaka 17M kutegemea na mahali ulipo bei ya materials ikoje na utatumia njia ipi kujenga i.e mkandarasi (kampuni), fundi maiko au utanunua materials na kumtafuta mtaalam (engineers) akujengee.
Vipimo vingeonekana ningekusaidia vizuri zaidi mkuu.
No way.Msingi tu mkuu
Mkuu tupe mrejesho umefikia wapi, wapw experience wakuuUnaweza kunikadiria yangu mkuu. Ina upana wa 17' na marefu 21 eneo pia ni tambarare...hadi sasa tayari nimeshakusanya Nondo mm 16 Tani 2; Nondo MM 8 ziko 100, Mchanga CBM 70, Kokoto nene CBM 50, Tofali 6' ziko 2,500, Misumari nchi 3 na 4 kigunia kimoja kimoja, binding wire roller moja na marine boards ziko 10. Mkuu hapo nimebakiza nini ili nikamilishe msingi peke yake hadi hatua ya kufuta kiti na kuachia matoleo ya nondo. Plani yangu nataka nimtumie Fundi Maiko. Tafadhali naomba makadirio yako...hizi BOQ nimegundua zimekuwa zinadanganya sana... Tafadhali
M17 inatosha kulingana na ukubwa wa Hilo ghorofa, ambayo yana chini ya 100sqm huwa inatosha kulingana na gharama za fundiKwa 17m msingi, hilo ghorofa litaanguka mara baada ya kukamilika. Huyo jamaa aliyesema 50m yawezekana (kwa kutumia Wataalam sio Fundi Maiko). Maana binafsi nilitumia 40m kabla bei ya Nondo haijaongezeka.
Bora wewe unaandika uhalisia maana wengine dah ukiwasoma ni mwijaku styleM17 inatosha kulingana na ukubwa wa Hilo ghorofa, ambayo yana chini ya 100sqm huwa inatosha kulingana na gharama za fundi
Kwa hizi za kawaida za kuishi zinazojengwa, hizi za residential hiyo 50m huwa Kuna uongo. Wengi hupenda kuonekana wametumia gharama ili kuongeza value ya kitu chake na yeye kuonekana yupo vizuri.
Ujenzi wa ghorofa upo overrated na watu ndio maana hutaja overprice. Ni gharama, lakini sio kama zinazotajwa na watu. Nimeongea through experience kwa maana naujua uhalisia
Mtoa mada hataki kuongea na nyie ambao hamna maghorofa.. 😁 panapo majaaliwa si kitambo kirefu, mimi pia naanza ujenzi wa ghorofa yangu, uzuri ni kwamba site engineer ni mimi mwenyewe, nina degree ya civil engineering, ramani nimekwishachora (both architectural and structural).Uzi mzuri sana, hongera mtoa mada,
Kuna maswali tumekosa majibu, pia tulipenda kuona picha ya msingi wa 9 M.
Mtoa mada amepotea au ndo alidondokewa na ghorofa goba au lile la kigamboni(jokes)