Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Mbona hapo kwenye slabs ni kipengele aisee [emoji276]mkuu biga mahesabu vizuri unatutisha [emoji851]
Kwenye slab Kuna vitu nilibug kama nisingebug hapo ningeokoa kama.2.5m

Nilig'angania kutumia Nondo za nje BS 500, na zote 12mm Kwa layer zote mbili, ningeweza kutumia local tofauti ya bei ni kubwa mno, na ningechanganya 12mm na 10mm Kwa ushauri wa injinia hii ingefaa lakini nilijikuta nimeshazoa hizo nikazibwaga pale .

Lakini Kwa kweli kama Kuna kitu kinakula hela no slab,nimejitahidi kuwa na data zote. Hizo nilizokupa hakuna nilipozidisha wa kupunguza, hata nilipotimia usafiri kusimamia mafundi gharama nimeweka,hata nilipowaninilia soda au maji nimeinclude,Kwa kweli slab si mchezo.
 
Msingi huo hauzidi milioni 6 na afu kadhaa hii ni pamoja na kumlipa fundi
 
Kwenye slab Kuna vitu nilibug kama nisingebug hapo ningeokoa kama.2.5m

Nilig'angania kutumia Nondo za nje BS 500, na zote 12mm Kwa layer zote mbili, ningeweza kutumia local tofauti ya bei ni kubwa mno, na ningechanganya 12mm na 10mm Kwa ushauri wa injinia hii ingefaa lakini nilijikuta nimeshazoa hizo nikazibwaga pale .

Lakini Kwa kweli kama Kuna kitu kinakula hela no slab,nimejitahidi kuwa na data zote. Hizo nilizokupa hakuna nilipozidisha wa kupunguza, hata nilipotimia usafiri kusimamia mafundi gharama nimeweka,hata nilipowaninilia soda au maji nimeinclude,Kwa kweli slab si mchezo.

Ukubwa wa jengo ni SQM ngapi kiongozi?
 
Uzi mzuri sana huu, na nimeupata wakati muafaka, ni jambo la kheri kushirikisha jamii hatua zako za kimaendeleo, sio wote wapo kufanikiwa, ila wapo watakaonufaika na mashauri mbalimbali. Respect kwa wachangiaji wote.

Ukubwa wa square meters ambazo jengo limeoccupy space ni namba ngapi?
 
MREJESHO

Hatimaye sasa nimekuja kureta mrejesho hapa,kaa kitako na ujiandae kujenga ghorofa.

1. Msingi nimetumia 8,528,200
2.Shimo la choo ni 1,237,500
3.Boma ni 5,029,200
4.Kumwaga slab ni 16,537,000
5. Kulaza Bomba za umeme kwenye slab ni 220,000
Mkuu unaweza kutoa mchanganuo wa 16.5m za slab? Kuna kitu nataka kujifunza:
1. Nondo Kiasi gani
2. Kokoto Kiasi gani
3. Cement mifuko mingapi
4. Form work (mirunda na mbao)
5. Ufundi (kuchanganya na kumwaga zege)
6. Mchanga Kiasi gani
 
Form work milunda nilinunua kama 120 hivi, fundi alikula 1.8M zege nimenunua kwenye Makampuni yanayouza zege, wanakuja wanapima wanaokuletea kumwaga pale 240K per Cubic meter. Nondo 12mm nilinunua 195, na 16mm kama 40 hivi, 8mm kama 40.
 
Mbao 4by 2 na 1 by 6 unazo uniuzie boss??
 
Sema mtoa mada ni kama wale walamba asali [emoji276]ukiulizwa jengo lina ukubwa gani kimya,slabs SQM ngapi kimya!,ama unataka na sisi tusijenge maghorofa kama wewe!?,ulianza vizuri ila ulivyolamba asali tu basi
Mkuu sijalamba asali Mimi bado Nadu duliza kama ninyi, lakini nakumbuka mwanzoni kabisa mwa post yangu niliweka vipimo jaribu kurudi nyuma. Tangu nimwage slab nimeenda Leo. Maana ilinikausha kabisa hadi nikaichukia
 
Wakuu hivi ni lazima kusubili Kwa siku 21 ukishamwaga slab ndo kazi zingine ziendelee? Mbona naona ninsiku nyingi mno bika sababu, wataalam nishauri tafadhali
 
Back
Top Bottom