bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Ghorofa siyo mchezo inataka mfuko mnene.Msingi peke yake au mpaka kumaliza ujenzi wote mpaka ya juu?
Jaribu kuulizia average cost per square meter itakusaidia kupata estimate nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghorofa siyo mchezo inataka mfuko mnene.Msingi peke yake au mpaka kumaliza ujenzi wote mpaka ya juu?
16mm² sio lazima.Haukutumia NONDO 16mm?
16mm² sio lazima.
Hata 12mm² zinatumika Kama sehemu ya kusave budget. Cha msingi tu area of steel in concrete iwe ile ile au izidi kidogo.Kwenye columns na nguzo tunatumia nini kama mbadala wa mm16
Mzee unataka kujenga shule au soko mpaka ulazimike kutumia hiyo?Haukutumia NONDO 16mm?
Hata Mimi nimetumia 12 na si mara ya kwanza,kwa residential houses siyo tatizoHata 12mm² zinatumika Kama sehemu ya kusave budget. Cha msingi tu area of steel in concrete iwe ile ile au izidi kidogo.
Mfano Kuna mahali nilijenga, chuma iliyopendekezwa ilikuwa 16 kwa nguzo, kufika dukani inauzwa 54k kwa pc 1. Wakati huo 12 inauzwa 25k nikanunua 12. Kila nguzo ilitakiwa kula 16 pc1 nikaamua kufunga 12 nondo 6 kila nguzo ilikuwa inatumika nondo moja na nusu. Yaani 12mm pc3 zinatumika kwa nguzo 2.
Mi nakufatilia kwa karibuNimeanza rasmi Jana, nitaleta MREJESHO hapa inshaalah
Mbona ni siku chache sana only 7 days toka uandike andiko lako hapa.MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Bahati nzuri Kuna member wa Humu ameshafika site na nitampa kazi fulani hivi......Mimi si muumini wa kujenga siku nyingi,ukiona nakwambia nataka kuanza ujue kila kitu kipo tayari. Msingi upo tayari hivi sasa nimepata hela ya kunyanyua bona nimempa shart fundi aweke mafundi wengi kila mtu ukuta wake nataka ikiwezekana ndani ya siku tano anikabidhi boma.Mbona ni siku chache sana only 7 days toka uandike andiko lako hapa.
Una maanisha kweli au umeamua tu kuandika?
Bahati nzuri Kuna member wa Humu ameshafika site na nitampa kazi fulani hivi......Mimi si muumini wa kujenga siku nyingi,ukiona nakwambia nataka kuanza ujue kila kitu kipo tayari. Msingi upo tayari hivi sasa nimepata hela ya kunyanyua bona nimempa shart fundi aweke mafundi wengi kila mtu ukuta wake nataka ikiwezekana ndani ya siku tano anikabidhi boma.
Huu ni ujengaji wa KiKariakoo, kwenye structural analysis umeambiwa utumie nondo za 16mm wewe unatumia za 12mm. Baada ya miaka 15 likianza kuleta matatizo utasisingizia material fake kumbe ujuaji usio na msingi.Hata 12mm² zinatumika Kama sehemu ya kusave budget. Cha msingi tu area of steel in concrete iwe ile ile au izidi kidogo.
Mfano Kuna mahali nilijenga, chuma iliyopendekezwa ilikuwa 16 kwa nguzo, kufika dukani inauzwa 54k kwa pc 1. Wakati huo 12 inauzwa 25k nikanunua 12. Kila nguzo ilitakiwa kula 16 pc1 nikaamua kufunga 12 nondo 6 kila nguzo ilikuwa inatumika nondo moja na nusu. Yaani 12mm pc3 zinatumika kwa nguzo 2.
Inavyoonyesha ujenzi sio taaluma yako mkuu Ila unaongea kwa kutumia uzoefu tu. Nipe logic ya kutokutumia 12mm badala ya 16mm ambayo ni recommended na designer wa jengo? Hata hiyo simu yako tu ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kukuelimisha katika hili.Huu ni ujengaji wa KiKariakoo, kwenye structural analysis umeambiwa utumie nondo za 16mm wewe unatumia za 12mm. Baada ya miaka 15 likianza kuleta matatizo utasisingizia material fake kumbe ujuaji usio na msingi.
Kkoo watu wengi wanatumia kwenye nguzo hata 10mm ila ni kwa kuwa ni majengo ya mkataba, nimekodisha eneo najenga na nakutumia then after 20yrs nakuachia jengo lako kimeo wakati mkataba umeisha, tunaiga vitu sahihi mbaya zaidi mnapongezana kama ni ushujaa.
Nielezee na ww kwa nini umetumia 12mm badala ya 8 au 6mm, ni nini kimekushawishi kuwa 12mm ni sahihi badala ya 16mm ambayo imefanyiwa mahesabu?Inavyoonyesha ujenzi sio taaluma yako mkuu Ila unaongea kwa kutumia uzoefu tu. Nipe logic ya kutokutumia 12mm badala ya 16mm ambayo ni recommended na designer wa jengo? Hata hiyo simu yako tu ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kukuelimisha katika hili.
Kwa taarifa yako, factor kubwa inayo decide uweke chuma size gani ni area of steel in concrete Asc. Ukisoma kwenye table/graph itakupa options nyingi uweke chuma size ipi na ziwe ngapi, nawe unachagua the BEST, REASONABLE and ECONOMICAL option.Nielezee na ww kwa nini umetumia 12mm badala ya 8 au 6mm, ni nini kimekushawishi kuwa 12mm ni sahihi badala ya 16mm ambayo imefanyiwa mahesabu?
Kwa hiyo kwa elimu yako hii ndio imekuambia 16mm na 12mm ni sawa, bure kabisa, huna la kunifunza, cha muhimu msijaribu kuaminisha watu hizo short cut zenu zinazo athiri structural integrity ya jengo ni njia sahihi, no wonder nyumba nyingi zinazojengwa na watz zikifika 30yrs ziko hali mbaya while nyumba iliyojengwa na mkoloni ina 100yrs na bado structural integrity ipo intact, jibu ni huu uhuni mnaofanya.Kwa taarifa yako, factor kubwa inayo decide uweke chuma size gani ni area of steel in concrete Asc. Ukisoma kwenye table/graph itakupa options nyingi uweke chuma size ipi na ziwe ngapi, nawe unachagua the BEST, REASONABLE and ECONOMICAL option.
Ukitaka elimu zaidi Kuhusu ujenzi njoo PM nitakufundisha Bure kabisa.
Mkuu hongera nimeipenda sana hii Ramani yako. Kama hutajali naomba unipm ground floor yake.Ipakue hiyo hapo mtaalam
Pole sababu hujui chochote kwenye ujenzi ndugu. Komaa na kukariri ulichoandikiwa. Bahati mbaya ujenzi sijaanza leo Wala jana.Kwa hiyo kwa elimu yako hii ndio imekuambia 16mm na 12mm ni sawa, bure kabisa, huna la kunifunza, cha muhimu msijaribu kuaminisha watu hizo short cut zenu zinazo athiri structural integrity ya jengo ni njia sahihi, no wonder nyumba nyingi zinazojengwa na watz zikifika 30yrs ziko hali mbaya while nyumba iliyojengwa na mkoloni ina 100yrs na bado structural integrity ipo intact, jibu ni huu uhuni mnaofanya.
Nikimaanisha hiiIpakue hiyo hapo mtaalam
Sihitaji polee, najitambua na najua ninachokifanya, pole unahitaji wewe unayejidai Engineer halafu kichwani mtupu, unajisifu ujenzi umeanza zamani, hujui hata wahuni pia wanazeeka?Pole sababu hujui chochote kwenye ujenzi ndugu. Komaa na kukariri ulichoandikiwa. Bahati mbaya ujenzi sijaanza leo Wala jana.