Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 497
- 785
hongera mkuu msingi hautakiwi kula garama kubwa msingi pamoja na michoro ni only 13-15 percent tu ya overal cost ya jengo zima kinachokost ni kumimina hiyo slab hapo juu hiyo hela uliyotumia hapo chini unaweza kuta ndo garama za nondo tu hapo juu kutegemea na ukubwa wa square meter za jengo lako, bado cement, mchanga, kokoto