Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hayo ni makadirio tu haitaji watu kuogopa, shida nae kapoga picha ramani picha imefifia hata vipimo havionekaniushauri tu awe na hiyo kitu. kuna chuma zinasukwa chini (base) na kuzunguka msigi wote, kuna tofali zinazikwa kozi zaidi ya saba za kulaza, kuna mkanda unapigwa mzunguko wote, kuna zege chini kwenye base na huo mkanda, kuna kifusi cha kujaza, kuna framework za kufunga na mambo ya mafundi. Basically, ata cement. mchanga, na kokoto zote zimepanda