Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Toa mchanganuo, hakuna msingi wa nyumba ya ghorofa wa chini ya 10m hata kama ufundi ni bure.
 
MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Nimemaliza msingi:
Nondo 12mm ni 48
Nondo 8mm ni 15
Cement ni 61
Kokoto Mende moja na fuso moja
Mchanga Mende 1 na gari ndogo 2

Nimetumia kana 8.7M kwa mambo yote.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Wengi ni wezi

Ujenzi ukisimama mwenyewe, ukanunua vitu mwenyewe, ukahakikisha inakunywa maji.
Hakika hutajuta
 
JF bana…mkuu yeye ndo anajenga. Wewe unamwambia haiwezekani. Jitafakari. Au unafikiri anajenga Jengo la serikali?
Huyu ndio wale anadanganywa sisi ni engineers wakati kwa sehemu kubwa engineer hagusi hata chepe. Kazi yake kubwa maelekezo tu
 
ushauri tu awe na hiyo kitu. kuna chuma zinasukwa chini (base) na kuzunguka msigi wote, kuna tofali zinazikwa kozi zaidi ya saba za kulaza, kuna mkanda unapigwa mzunguko wote, kuna zege chini kwenye base na huo mkanda, kuna kifusi cha kujaza, kuna framework za kufunga na mambo ya mafundi. Basically, ata cement. mchanga, na kokoto zote zimepanda
Formworks za kazi gani jumba binafsi?
 
Huyu ndio wale anadanganywa sisi ni engineers wakati kwa sehemu kubwa engineer hagusi hata chepe. Kazi yake kubwa maelekezo tu
Mimi Kwa kuwa nilikuwa nataka kujenga ofisi yenye GHOROFA,nilitembelea site moja niliyokuta inajengwa,engineer alikuwa anatumia foremen na mafundi wengine lakini na foremen alikuwa anashika mwiko ila engineer amevaa tai....nilichofanya nikamchukua foremen nikampa mchoro alionicholea class mate wangu architecture na kumpa 250,000 nakumbuka fundi akasema anaweza kuuimplement. Akaanza aiseee kwa 1M amejenga msingi wote umeisha na nondo zimesumama ndefu .....nilichogundua tumia Hawa ambao si Wasomi ila wana uzoefu hawaachi pesa mnazungumza.

Lakini Kuna mafundi WANAOJENGA kwa kujihami yaani hawana uhakika,Hawa wanatutia hasara sana maana wanaweka vitu unnecessarily ndo utasikia hizo framework sijui kulaza nondo chini wakati umejenga kitako cha maana. Mara anakwambia anataka ukanunue marine 50 wakati unaweza kutumia mbao za kukodi au Makini 20 akawa anahamisha nk

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom