RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jan 12, 2025 #221 mzabzab said: Kabisa unajenga bila columns. Kinachofanyika ni kwamba tofali zinakuwa 20 kwa mfuko mmoja Click to expand... Okay. Kuna tofali huwa naziona kama zina kokoto hivi. Kwahio hapa kuta ndio zinabeba mzigo?
mzabzab said: Kabisa unajenga bila columns. Kinachofanyika ni kwamba tofali zinakuwa 20 kwa mfuko mmoja Click to expand... Okay. Kuna tofali huwa naziona kama zina kokoto hivi. Kwahio hapa kuta ndio zinabeba mzigo?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jan 12, 2025 #222 RRONDO said: Okay. Kuna tofali huwa naziona kama zina kokoto hivi. Kwahio hapa kuta ndio zinabeba mzigo? Click to expand... Yes hizo hizo zenye kama kokoto ndio zinatumika
RRONDO said: Okay. Kuna tofali huwa naziona kama zina kokoto hivi. Kwahio hapa kuta ndio zinabeba mzigo? Click to expand... Yes hizo hizo zenye kama kokoto ndio zinatumika
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 Jan 12, 2025 #223 subscribed
Copy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,055 Reaction score 1,341 Jan 15, 2025 #224 Adabwash said: No chance,wrong estimates Click to expand... Unafikiri ni nini hufanya gharama za mradi zikatofautiana hata kama ni design inafanana kwa kila kitu? Okay , let's say niko wrong. Changia wazo kumsaidia mleta maada na wengine pia.
Adabwash said: No chance,wrong estimates Click to expand... Unafikiri ni nini hufanya gharama za mradi zikatofautiana hata kama ni design inafanana kwa kila kitu? Okay , let's say niko wrong. Changia wazo kumsaidia mleta maada na wengine pia.
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 Jan 17, 2025 #225 OKW BOBAN SUNZU said: Asante mkuu. Naomba kujua kuhusu gharama za fundi kujenga msingi Click to expand... Mkuu naona umedhamiria, mwaka huu tutalala kwenye ghorofa lako pale Singida. Hongera kwa kuweka nia.
OKW BOBAN SUNZU said: Asante mkuu. Naomba kujua kuhusu gharama za fundi kujenga msingi Click to expand... Mkuu naona umedhamiria, mwaka huu tutalala kwenye ghorofa lako pale Singida. Hongera kwa kuweka nia.