Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
50” ni 28500 x 118 = 3,277,500Habarini wakuu. Niende moja kwa moja kwenye topic. Wakuu nina nyumba yangu ipo hatua ya finishing ina square meter 206. Kwa vile sipo karibu nikamuomba fundi anipe makadirio ya tiles na akaniletea makadirio kama ifuatavyo
50×50 box 118
40x40 box 11
25×40 box 82
Skating box 11
Nataka niweke tiles ambazo ni za bei ya kawaida ambazo zinadumu. Naombeni ushauri niweke zipi? Na naombeni bei ya box tajwa hapo juu nijiandae maana hadi kichwa inapata moto kila nikiwaza bado aluminium, skimming na mauchafu mengine.
Pia naomba kujua kama kuna uwezekano nikapata sehemu nikawa nalipa kidogo kidogo maana hela haikai.
Natanguliza shukrani
40” ni 24500 x 11 = 269,500
25” ni 17500 x 82 = 1,435,000
Skating ni 28,000x11= 308,000
Total 5,289,500