Naomba kujuzwa gharama za tiles hizi

Naomba kujuzwa gharama za tiles hizi

Hongera na pole kwa huu mziki mnene unaokusubiri.. Sina hakika na hiyo idadi pengine nyumba ni kubwa mimi nakupa tu makadirio
50 kwa 50 ni kati ya 40,000 mpaka 60,000
40 kwa 40 ni kati ya 35,000 mpaka 45,000
25 kwa 40 ni kati ya 30,000 mpaka 40,000
Skating ni kati ya 32, 000 mpaka 37,0000

Ushauri wangu
1.Anza na sehemu nyeti kama sebuleni vyooni, na koridoni nk

2. Kuna baadhi ya maeneo weka zile zinazoitwa grade B kwa maana ya kwamba zimemeguka kidogo kwenye pembe ama rangi haikakolea kivile nk
Wengi huokoa gharama mpaka 40% kwa kutumia hizo na huwezi kujua kwakuwa kama unaweka 50 kwa 50 unanunua 60 kwa 60 kisha fundi anazi size kuwa 50 kwa 50 na kuondoa mapengo yote
Kuna uhuni mkubwa kwenye hii biashara kwakuwa baadhi ya wauzaji huchukua grade B na kuzi size na kuuza bei ya punguzo ambalo sio kubwa.. Na mafundi nao hufanya hivyo ukiwapa hela

3. Pata mtu wa kiwandani ama wa sales ambaye ana wateja wa jumla ili akuchomeke kwa wateja wake upate kwa bei ya jumla

Ukihitaji msaada zaidi nicheki.. Nina madirisha na milango ya PVC used ya ulaya very high quality na ni double glass kwa bei ya kutupa
Milango ya ndani pia ninayo
No omba namba yako kuna mtu anataka madirisha ya pvc please
 
Mshana Jr. Kwema brother? Hizo pvc na mengineyo bado unayo?
 
Habari mkuu. Naomba kama unaweza kuniunganisha na wauzaji wa hizi tiles za grade B. Pia ningependa kujua kama bado unayo madirisha na milango used ya PVC.

Ahsante.
 
Unahitaji box ngap izo grade B
 
Ukubwa wa 500m x 500m mean 50*50 zinakaa 7 kwa box
Ukubwa wa 400m x 400m mean 40*40 zinakaa 12 per box
Kuna 250m x 400m mean 25*40 zinakaa 15 per box
500m x 500m !!!???
 
Habari mkuu. Naomba kama unaweza kuniunganisha na wauzaji wa hizi tiles za grade B. Pia ningependa kujua kama bado unayo madirisha na milango used ya PVC.

Ahsante.
Floor tiles,

40 x 40 Goodwill,
Zinakaa 12 kwenye Box,
21,500/-
0784772061.

40 x 40 Twyfod,
Zinakaa 12 kwenye Box,
23,500/-
0622088300
 
Back
Top Bottom