Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Mkuu, hii bei ni tiles za kampuni gani?50” ni 28500 x 118 = 3,277,500
40” ni 24500 x 11 = 269,500
25” ni 17500 x 82 = 1,435,000
Skating ni 28,000x11= 308,000
Total 5,289,500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hii bei ni tiles za kampuni gani?50” ni 28500 x 118 = 3,277,500
40” ni 24500 x 11 = 269,500
25” ni 17500 x 82 = 1,435,000
Skating ni 28,000x11= 308,000
Total 5,289,500
Hizo ni maalum kwa kutaniLakini hizi kwa kutaja utaona kama bei ni rahisi lakini mpaka uje ku cover 1 sqm utakuta unatumia gharama ile ile unayonunulia 60*60
Size?Yanatoka nje ya nchi
Yameisha kaka limebaki moja tuu la 1.5 meterSize?
Twyford mkuuMkuu, hii bei ni tiles za kampuni gani?
Mkuu Mshana mbona siwezi kukutumia msg.Tiles nyeusi 60 kwa 60 box piece 4 50,000 tuuView attachment 2168608View attachment 2168609View attachment 2168610View attachment 2168611View attachment 2168612
Nimekupata hukoMkuu Mshana mbona siwezi kukutumia msg.
Mkuu naweza PATA MAWASILIANO yako pm?Nimekupata huko
Kampuni gani hii mshana?Hizi hapa ni 50 kwa 50 bei ni Tsh 32,000 kwa boxView attachment 2164536View attachment 2164537View attachment 2164538
TwyfordKampuni gani hii mshana?
Peleka jukwaa la ujenzi utasaidiwa, huku wengi ni mahomelessHabarini wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye topic. Wakuu nina nyumba yangu ipo hatua ya finishing ina square meter 206. Nyumba iko Moshi.
Kwa vile sipo karibu nikamuomba fundi anipe makadirio ya tiles na akaniletea makadirio kama ifuatavyo
50×50 box 118
40x40 box 11
25×40 box 82
Skating box 11
Nataka niweke tiles ambazo ni za bei ya kawaida ambazo zinadumu. Naombeni ushauri niweke zipi? Na naombeni bei ya box tajwa hapo juu nijiandae maana hadi kichwa inapata moto kila nikiwaza bado aluminium, skimming na mauchafu mengine.
Pia naomba kujua kama kuna uwezekano nikapata sehemu nikawa nalipa kidogo kidogo maana hela haikai.
Natanguliza shukrani
OkayTwyford
Mzigo bado upoOkay
Kwann nyeusi huwa ghali zaidi?Tiles nyeusi 60 kwa 60 box piece 4 50,000 tuuView attachment 2168608View attachment 2168609View attachment 2168610View attachment 2168611View attachment 2168612
Aisee hata sijui kwaniniK
Kwann nyeusi huwa ghali zaidi?
Skirting nilipo mimi nilinunua @ 25,000/-Nani anauza tiles Mwanza hapa kwa hili andiko? Anauzaje 50x50, 40x40 na zile za 40x25?
Na vipi kuhusu skirting?
Kwa Dar wapo maeneo gani? Hiyo tiles ya mbao nimeipenda sana.Tywford wana tiles viwango sana
Umenipa nondo.Hongera na pole kwa huu mziki mnene unaokusubiri.. Sina hakika na hiyo idadi pengine nyumba ni kubwa mimi nakupa tu makadirio
50 kwa 50 ni kati ya 40,000 mpaka 60,000
40 kwa 40 ni kati ya 35,000 mpaka 45,000
25 kwa 40 ni kati ya 30,000 mpaka 40,000
Skating ni kati ya 32, 000 mpaka 37,0000
Ushauri wangu
1.Anza na sehemu nyeti kama sebuleni vyooni, na koridoni nk
2. Kuna baadhi ya maeneo weka zile zinazoitwa grade B kwa maana ya kwamba zimemeguka kidogo kwenye pembe ama rangi haikakolea kivile nk
Wengi huokoa gharama mpaka 40% kwa kutumia hizo na huwezi kujua kwakuwa kama unaweka 50 kwa 50 unanunua 60 kwa 60 kisha fundi anazi size kuwa 50 kwa 50 na kuondoa mapengo yote
Kuna uhuni mkubwa kwenye hii biashara kwakuwa baadhi ya wauzaji huchukua grade B na kuzi size na kuuza bei ya punguzo ambalo sio kubwa.. Na mafundi nao hufanya hivyo ukiwapa hela
3. Pata mtu wa kiwandani ama wa sales ambaye ana wateja wa jumla ili akuchomeke kwa wateja wake upate kwa bei ya jumla
Ukihitaji msaada zaidi nicheki.. Nina madirisha na milango ya PVC used ya ulaya very high quality na ni double glass kwa bei ya kutupa
Milango ya ndani pia ninayo