francois voltaire
Member
- Aug 20, 2020
- 57
- 144
Kwelwanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata..
Naomba kwa anayejua anisaidie plz
Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
Ulifanikiwa??, coz baada ya kuhangaika nimepata namna unaweza kuomba tena kama ulikosea email. Na ukapata login password via coreect email.wanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata..
Naomba kwa anayejua anisaidie plz
Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
Huwezi kuedit namba ya nidaUlifanikiwa??, coz baada ya kuhangaika nimepata namna unaweza kuomba tena kama ulikosea email. Na ukapata login password via coreect email.
Huwezi kuedit namba ya ni
IpoHivi Kuna namna yoyote ya kuanza na upya ?
Jaribu kupakua tena form yako iwe kama ina refesh inaweza kuja password, unless otherwise umekosea kujaza email yako kwenye form angaliza vizur.Mimi nimetuma maombi ila naona chenga, sijatumiwa password kwenye email yangu na hata sijui tatizo ni nini?
Sijakuelwwa mkuu. Mimi sijatmiwa password baada ya kutuma zile taarifa zangu za mwanzo Kabisa. Sasa hapo form naipakuaje tena ? Maana nkiingiza taarifa nijaze upya wanasema namba ishatumika .Jaribu kupakua tena form yako iwe kama ina refesh inaweza kuja password, unless otherwise umekosea kujaza email yako kwenye form angaliza vizur.
Ok, ni kweli ukiingiza namba inasema hivyo ila kuna uwezekano wa kupita hapo na ukapata form tena.Sijakuelwwa mkuu. Mimi sijatmiwa password baada ya kutuma zile taarifa zangu za mwanzo Kabisa. Sasa hapo form naipakuaje tena ? Maana nkiingiza taarifa nijaze upya wanasema namba ishatumika .
Napitaje boss ?Ok, ni kweli ukiingiza namba inasema hivyo ila kuna uwezekano wa kupita hapo na ukapata form tena.
Tena ukibadili namba ya simu... itasema ya form IV imetumika pia.Ok, ni kweli ukiingiza namba inasema hivyo ila kuna uwezekano wa kupita hapo na ukapata form tena.
Tena ukibadili namba ya simu... itasema ya form IV imetumika pia.
Umeangalia pia upande wa Spam? maana unaweza ukawa umetumiwa kwenye email yako ila imeenda kwenye spam au importantMimi nimetuma maombi ila naona chenga, sijatumiwa password kwenye email yangu na hata sijui tatizo ni nini?
Nop, kuna uwezekano.Solution ni kuwapgia tu mpaka wapokee
ANDIKA JINA LAKO ULILOTUMIA KUOMBA,ANDIKA NAMBA YAKO YA SIMU ULIYOTUMIA KUOMBA ELEZA CHANGAMOTO YAKO HALAFU TUMA KWA WATSAP 0713956030wanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata..
Naomba kwa anayejua anisaidie plz
Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
Nimeangalia huko boss but kuko empty aseeUmeangalia pia upande wa Spam? maana unaweza ukawa umetumiwa kwenye email yako ila imeenda kwenye spam au important