Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

Hapana mkuu
Fanya hivi...ingiza upya taarifa zako kwa usahihi, ila itakubidi sehemu ya namba ya simu, namba ya kidato cha nne, nida na email ubadilishe. Ukishafanikiwa, utaingia-log in ili uhuishe taarifa zako kwa kuziweka kwa usahihi, kwa maana ya ile nida na namba ya kidato cha 4.

All the best
 
Back
Top Bottom