Fanya hivi...ingiza upya taarifa zako kwa usahihi, ila itakubidi sehemu ya namba ya simu, namba ya kidato cha nne, nida na email ubadilishe. Ukishafanikiwa, utaingia-log in ili uhuishe taarifa zako kwa kuziweka kwa usahihi, kwa maana ya ile nida na namba ya kidato cha 4.