Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
tuendelee kidogo mkuu kwahiyo unaambukiza?Vitiligo husababishwa na upungufu/ukosefu wa pigment inayoitwa Melanin anbayo huzalishwa na cell za ngozi ziitwazo melanocytes (Melanin ndio huipa ngozi yako rangi iliyonayo).
So mtu huanza kupata vitiligo (mabaka meupe kwenye ngozi), pale ambapo cell zake za ngozi melanocytes zimepungukiwa uwezo wa kuzalisha melanin za kutosha kwenye ngozi.