permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Nenda hospital isijekuwa umeanza kupata ugonjwa wa kusahau (dementia).Sina ujauzito wala, hiyo inshu ni kweli nina vitabu vingi hata Sahiv sivisomi maana baada ya muda nasahau nikichosoma napenda sana kuandika makala na wakati mwingine napanga kabisa kesho ntaandika kitu fulani sasa basi nisipoandika kwenye notebook au karatasi yoyote ili niweke sehemu ntakayoona basi nasahau kufanya hiyo kazi [emoji22][emoji22][emoji22]