Naomba kujuzwa juu ya ugonjwa huu

tuendelee kidogo mkuu kwahiyo unaambukiza?
 
tuendelee kidogo mkuu kwahiyo unaambukiza?
Hapana mkuu vitiligo sio ugonjwa wa kuambukiza. Kwasababu sio ugonjwa unaosababishwa na kirusi au bacteria.

Magonjwa yanayosababishwa na virus, bacteria au germs ndio yanaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Huwezi kusikia mtu amemuambukiza mwenzake cancer au vitiligo au kisukari.
 
asante ubarikiwe sana πŸ™

kwahiyo huu ugonjwa unafananiana na ukoma?

nisamehe kwakukuchosha.
 
Nina tatizo la kusahau sahau sana na sijui hili tatizo limeanza lini?
Hii inatokana na nini Chaliifrancisco?
Labda una ujauzito.

Kama sio utakuwa na IQ kubwa sana maana ubongo unatumika kuweka tu info za maana na mambo yasiyokuwa ya msingi yanafutiliwa mbali ndio maana unayasahau. (Joke)πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Labda una ujauzito.

Kama sio utakuwa na IQ kubwa sana maana ubongo unatumika kuweka tu info za maana na mambo yasiyokuwa ya msingi yanafutiliwa mbali ndio maana unayasahau. (Joke)πŸ˜‚πŸ˜‚
Sina ujauzito wala, hiyo inshu ni kweli nina vitabu vingi hata Sahiv sivisomi maana baada ya muda nasahau nikichosoma napenda sana kuandika makala na wakati mwingine napanga kabisa kesho ntaandika kitu fulani sasa basi nisipoandika kwenye notebook au karatasi yoyote ili niweke sehemu ntakayoona basi nasahau kufanya hiyo kazi 😒😒😒
 
Unaweza kuwa na stress, anxiety! Au unatumia sana mambo yetu yale.
 
Vitiligo, wahi kwa wataalamu wa ngozi.
 
Maelezo mazuri haya.
 
Ahsante Kwa somo, maana tuliambiwa unaambukiza km mkigusana.
 
Unaitwa vitiligo, u-gugu ujisomee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…