Habari ya usiku wakuu.
Natamani kupata ka vaccation kidogo nipunguze machungu ya hii dunia...
Nilisikia mnaogopa waarabu.Sijaelewa mkuu
Kweli kabisa mkuu ila binafsi naona ni hekima uwe japo na kanyumba kazuri na ka usafiri kabla hujaanza kuspend kwenye ma vacation.Hata sijasoma Uzi Hila nimependa title tu. Watz hatuna kasumba ya kutembea. Wengi tukipata pesa tunakimbilia kujenga au kuinvest. Tuna uoga na maisha.
Kwenye hata maisha Ili ujione umeishi angalau utembee hata nchi 20 uone mambo mapya ya maisha. Wazungu wanalijua Ili Leo hii wametembea Africa nzima. Sisi hata waafrica tunafikiria hatujui maisha ya kuspend.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ukihitaji mlinzi binafsi wa kwenda naye huko Dubai, nipo hapa. Nichukue nafasi ya huyo mtu mzima mwingine. Nina uzoefu wa miaka mingi kwenye hii fani.Okay.
Wiki moja naamini tutafurahi vya kutosha
Zumbe unajipigia promo.Ukihitaji mlinzi binafsi wa kwenda naye huko Dubai, nipo hapa. Nichukue nafasi ya huyo mtu mzima mwingine. Nina uzoefu wa miaka mingi kwenye hii fani.
aongeze tano tena ya wewe au sioUkihitaji mlinzi binafsi wa kwenda naye huko Dubai, nipo hapa. Nichukue nafasi ya huyo mtu mzima mwingine. Nina uzoefu wa miaka mingi kwenye hii fani.
Hapana! Nimemshauri amuondoe mtu mzima mmoja! Na hivyo kwenda yeye, mtoto mmoja, na mlinzi binafsi wa kumlinda wakati wote wa hiyo vacation.aongeze tano tena ya wewe au sio