Naomba kujuzwa kama TSh milioni 10 inatosha kwenda kutembea Dubai

hiyi hela ningepata mm pisi zote nchin zingenikoma kama teni unakula pisi moja matata vuta picha m10 ina teni ngapi?
 
Fata maelezo ya mamasamia hapo juu utaenjoy na chenji inabakii
 
Sasa jombaa maisha ya wazungu unafananisha na waafrika?
Mwafrika nyumba anajenga akiwa na miaka 35 tena hapo kakaza kweli kweli otherwise anaweza gonga 45 ndio kwanza kaweka msingi, halafu apate 20m atumie kusafiri kutalii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…