ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ungeweka picha ya hilo gari ingekua ni vizuri zaidiBarabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
Kwanini liko maeneo ya kuingia na msasani kawe pekee halipo maeneo mengine je linadetect eneo kubwa sana la jiji?Ku detect drones, radio waves,
Hapo Kuna mawasiliano ya watu yanasikilizwa, mambo ni mengiKwanini liko maeneo ya kuingia na msasani kawe pekee halipo maeneo mengine je linadetect eneo kubwa sana la jiji?