Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

Hv juzi kati hao TRC wametoa nafasi kwa kada tofauti nadhani hata deadline yake haijafika bado vipi uliomba?

Mie nliomba ila sidhani hata kama nikiitwa usaijili nitaenda nisije nikachoma nauli yangu bure ukizingatia nafasi zenyewe 8 tu kwa civil engineers huku kumbe zina wenyewe aaah hii nchi ngumu hii.
Nenda ukifaulu practical lzm upate

Connection zipo kweli ila mtu akifaulu practical lzm apate
 
wadau wa trc ivi hii kazi ya assistant commercial officer( train guard) ni kazi gani ? unakua unasafiri na train au
 
wadau wa trc ivi hii kazi ya assistant commercial officer( train guard) ni kazi gani ? unakua unasafiri na train au
Yah ni guard unakaa nyuma kweny break ila si haba utalipwa mileage na OT so mshahara sio chini ya 1m
 
Back
Top Bottom