Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mimi sijui bei ila ninachojua haya madude yapo mengi tofauti. Tofauti kwenye ukubwa, vijiko,linatembea kwa matairi au mkanda kama kifaru etc huyo atakaekupa bei lazima ajue vitu hivyoKama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo!
Asanteni,wasalaam.
Inshaallah.
naongeza nyama hapa,Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo!
Asanteni,wasalaam.
Inshaallah.
Pls mjuzi ajitokeze atujuze inshaallah..naongeza nyama hapa,
kwa atakayekuja kutoa mwongozo aje na picha tafadhali
Ulikuwa unatumia kuchimba mabwawa au migodini ?Jaribu kutafuta jcb 200
Binafsi hii nmeitumia sana
Kipindi cha nyuma kwenye uchimbaji,kwa kujuwa zaidi
Nenda jcb wako pugu road
Watakupa maelezo zaidi
Ova