Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Chuga aliletwaga msanii kwenye Fiesta akapigwa madole jukwaani hawakurudia tena hahah
 
Arusha ni tarehe 08 october kwa wale wa Arusha kaeni mkao wa kula
 
Huyo namjua, sasa ndo nashangaa kafikafikaje huko.Halafu alikuwa Gavana sio Seneta
Ahsante kwa kunirekebisha ndo Huyo unayemjua alishafika huku miaka mngi sana na ana hotel yaake uko kandokando ya ziwa Tanganyika ni nzuri in hotel ya kitalii
 
Ahsante kwa kunirekebisha ndo Huyo unayemjua alishafika huku miaka mngi sana na ana hotel yaake uko kandokando ya ziwa Tanganyika ni nzuri in hotel ya kitalii
DUh basi namie nakuja, chumba si utalipia ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…