unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Karibu sumbawanga screpa ntakuwa mwenyeji wako usisikilize hadithi za kale in pazuri kwa maisha karibu sanaHilo jina lenyewe linatisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sumbawanga screpa ntakuwa mwenyeji wako usisikilize hadithi za kale in pazuri kwa maisha karibu sanaHilo jina lenyewe linatisha
Karibu nikupeleke kwenye hotel aliyofika shoznigaKwavile we mtoto wa kike ntajikaza tu nije
Seneta wa marekani bwana screpa usiniangusheshozniga wa sumbawanga au?
Ahsante kwa kunirekebisha ndo Huyo unayemjua alishafika huku miaka mngi sana na ana hotel yaake uko kandokando ya ziwa Tanganyika ni nzuri in hotel ya kitaliiHuyo namjua, sasa ndo nashangaa kafikafikaje huko.Halafu alikuwa Gavana sio Seneta
We njoo gharama zote kwanguDUh basi namie nakuja, chumba si utalipia ee?
Hahahaha sisi watanzania in ndugu bwana🙂🙂🙂😛 kupendwa raha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vituko sana wwshozniga wa sumbawanga au?