Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Arusha haiendi kwasababu hawaendi mikoa yote
 
Wewe Mkoa wa Singida sio mdogo kama unavyodhania. Inaonekana upo nyuma sana kwa habari za tz au huna gari ya kutembelea unapoenda mikoani so unaishia kuona stand ya bus na barabarani tu. Kwa taarifa yako mkoa wa Singida kwa sasa upo juu ya mikoa mingi sana hapa tz.
 
Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua kwamba unaishi kwenye hako kamkoa kadogo
 
Chuga tuna ma mc'z wetu kama Chindo man, Yuzzo na JCb kutoka Utengwani vyema wakawapa nafasi ya kuperform kuliko kutuletea wakina Man fongo au Sholwe bwenzi lazima kitanuka tu
 
Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua kwamba unaishi kwenye hako kamkoa kadogo
Sasa c bora mkoa mdogo kuliko wewe kusema Arusha hakuna fiesta wakati wkend hii ipo huko. Looks like unaishi porini wewe!
 
Na wimbo mmoja wa "" Digi digi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…