Naomba kujuzwa lolote kuhusu Wanawake wa Kimasai. Nataka kuoa mwanamke wa jamii hiyo

Naomba kujuzwa lolote kuhusu Wanawake wa Kimasai. Nataka kuoa mwanamke wa jamii hiyo

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,678
Reaction score
3,818
Kataa ndoa naomba msome kwa makini sio kila mtu aliyepigwa matukio kwenye mapenzi anakata tamaa jumla.

Haya maisha bila kuwa na mwanamke wa kuelewaka mtu utajikuta unalala hadi na kuku au mbuzi kimapenzi au unapiga punyeto hadi mzee wa kazi anasinyaa jumla unakuwa mlemavu wa kudumu mwisho unapigwa moto wa milele huko mbinguni.

Kwa utangulizi iko hivi. Nilioa binti wa watu ndoa ya kanisani kabisa ila tukashindwana kuendelea kwa sababu kadhaa tuna mtoto mmoja miaka 5 ndoa haijavunjwa kwa maana ya talaka ila niko naelelea huko siku sio nyingi.

Saaaasaaaa katika kuvumilia vumilia na umalaya wa hapa na pale nikaona haya sio maisha, ukiangalia mimi ni mmoja kati ya wanaume wale tusiokata tamaa kwa changamoto za kijinga jinga na kwa kusumbuliwa na yale mazoea ya kupata cha adubuhi, cha usiku na cha mchana au muda wowote ule

Nikaona ni bora nikatafuta mahusiano mengine rasmi yatakayokuwa ya kudumu nikitishwa pia na takwimu zenu madaktari zinazoonyesha kati ya watu 20 hapa bongo 7 au 5 wana gonjwa lenu lile baya ukiangalia nina mtoto wa kuangalia anayenitegemea kila kitu na nusu ya malengo yangu mengi kimaisha sijatimiza baaadoooo.

Basi ndugu yenu nikajenga urafiki na mmasai mmoja analinda hapa ofisin kwetu nikawa nauliza hili na lile nikajikuta naulizia uwezekano wa kuoa Mmasai, kwanza ameniuliza kama nina ng'ombe zaidi ya 10 au hela ya kununulia ng'ombe 5 nikamjibu sio ishu hiyo, tukaongea mengi ila kubwa zaidi akaniambia mke wa kimasai ni kama mhindi au mwarabu fujo za kiswahili hataki,

Wazazi wake wanakwambia vyote huyu ni mkeo sio vingine hakuna kumpiga au kumfanyisha kazi labda atake mwenyewe kuchakarika, akanionesha picha za wale masai walioenda shule aisee ni pisi kali kweli kweli sio kidogo ila mpango wangu ni kupata yule wa bush bushi ili nimpendezeshe mwenyewe.

Sasa wadau kama kuna mtu anajua lolote kuhusu wake wa jamii hii naomba tuambiane kabla sijaingia mzima mzima.
 
Ok,mtoa mada hao wadada wa kimasai kiasi chake kwa 95% wana maadili pia wengi wao wanekeketwa,hali kadharika 98% huwez kuwaoa wew mswahili maana wao wanaenda unyago na kufundishwa mwanaume kamili ni wa jamii yao tuu,hivo kama utampata basi ni chotara au masai wa arusha(waarusha)na sio masai wale pure.
 
Daah kwenye kumpata nadhani nitafanya ushawishi wa kutosha.kuhusu kukeketwa ndo safi wanatulia maana hizi antena ndo shida kuu kwa wadada wa kisasa.
 
Wale wanaojiita waarusha jiandae kwa mazingira ya ubabe ubabe maana ndio has wanaojiona kama wapo nchi ya kwao peke yao, ila kama utafanikiwa pure masai girl from ndani ndani huko utakuwa umepata kitu cha uwakika ila akija mmasai wa kiume kumgonga itakuwa raisi maana wanafundishwa kudumisha mila zao wao kwa wao hasa katika swala la mapenzi.
 
Mpango wangu ni hata ambaye hajaenda shule nitamfundisha mwenyewe a e i o u
 
Back
Top Bottom