Naomba kujuzwa lolote kuhusu Wanawake wa Kimasai. Nataka kuoa mwanamke wa jamii hiyo

nikitishwa pia na takwimu zenu madaktari zinazoonyesha kati ya watu 20 hapa bongo 7 au 5 wana gonjwa lenu lile baya ukiangalia nina mtoto wa kuangalia anayenitegemea kila kitu na nusu ya malengo yangu mengi kimaisha sijatimiza baaadoooo.
Hapa Mwana umesema pointi nzuri sana.
 
Kataa ndoa naomba msome kwa makini sio kila mtu aliyepigwa matukio kwenye mapenzi anakata tamaa jumla. Haya maisha bila kuwa na mwanamke wa kuelewaka mtu utajikuta unalala hadi na kuku au mbuzi kimapenzi au unapiga punyeto hadi mzee wa kazi anasinyaa jumla unakuwa mlemavu wa kudumu mwisho unapigwa moto wa milele huko mbinguni.

Kwa utangulizi iko hivi. Nilioa binti wa watu ndoa ya kanisani kabisa ila tukashindwana kuendelea kwa sababu kadhaa tuna mtoto mmoja miaka 5 ndoa haijavunjwa kwa maana ya talaka ila niko naelelea huko siku sio nyingi.

Saaaasaaaa katika kuvumilia vumilia na umalaya wa hapa na pale nikaona haya sio maisha,ukiangalia mimi ni mmoja kati ya wanaume wale tusiokata tamaa kwa changamoto za kijinga jinga na kwa kusumbuliwa na yale mazoea ya kupata cha adubuhi, cha usiku na cha mchana au muda wowote ule nikaona ni bora nikatafuta mahusiano mengine lasim yatakayokuwa ya kudumu nikitishwa pia na takwimu zenu madaktari zinazoonyesha kati ya watu 20 hapa bongo 7 au 5 wana gonjwa lenu lile baya ukiangalia nina mtoto wa kuangalia anayenitegemea kila kitu na nusu ya malengo yangu mengi kimaisha sijatimiza baaadoooo.

Basi ndugu yenu nikajenga urafiki na mmasai mmoja analinda hapa ofisin kwetu nikawa nauliza hili na lile nikajikuta naulizia uwezekano wa kuoa mmsai, kwanza ameniuliza kama nina ng'ombe zaidi ya 10 au hela ya kununulia ng'ombe 5 nikamjibu sio ishu hiyo, tukaongea mengi ila kubwa zaidi akaniambia mke wa kimasai ni kama mhindi au mwarabu fujo za kiswahili hataki, wazazi wake wanakwambia vyote huyu ni mkeo sio vingine hakuna kumpiga au kumfanyisha kazi labda atake mwenyewe kuchakalika, akanionyesha picha za wale masai walioenda shule aisee ni pisi kali kweli kweli sio kidogo ila mpango wangu ni kupata yule wa bush bushi ili nimpendezeshe mwenyewe.

Sasa wadau kama kuna mtu anajua lolote kuhusu wake wa jamii hii naomba tuambiane kabla sijaingia mzima mzima.
Zaidi ya asilimia 95% wamekeketwa, hivyo hawana kile kiharage kakuwapea utamu wa tendo.

So ukifanya nae tendo la ndoa mpaka hadi akojoe labda umoja wa mataifa uingilie kati 😂😂😂
 
Zaidi ya asilimia 95% wamekeketwa, hivyo hawana kile kiharage kakuwapea utamu wa tendo.

So ukifanya nae tendo la ndoa mpaka hadi akojoe labda umoja wa mataifa uingilie kati [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu adabu na uwezo wa kupata watoto wawili watatu basi inatosha.since hawana antena it mean na hamu ya ngono hawana nitajipigia kivyangu.
 
Kataa ndoa naomba msome kwa makini sio kila mtu aliyepigwa matukio kwenye mapenzi anakata tamaa jumla.

Haya maisha bila kuwa na mwanamke wa kuelewaka mtu utajikuta unalala hadi na kuku au mbuzi kimapenzi au unapiga punyeto hadi mzee wa kazi anasinyaa jumla unakuwa mlemavu wa kudumu mwisho unapigwa moto wa milele huko mbinguni.

Kwa utangulizi iko hivi. Nilioa binti wa watu ndoa ya kanisani kabisa ila tukashindwana kuendelea kwa sababu kadhaa tuna mtoto mmoja miaka 5 ndoa haijavunjwa kwa maana ya talaka ila niko naelelea huko siku sio nyingi.

Saaaasaaaa katika kuvumilia vumilia na umalaya wa hapa na pale nikaona haya sio maisha, ukiangalia mimi ni mmoja kati ya wanaume wale tusiokata tamaa kwa changamoto za kijinga jinga na kwa kusumbuliwa na yale mazoea ya kupata cha adubuhi, cha usiku na cha mchana au muda wowote ule

Nikaona ni bora nikatafuta mahusiano mengine rasmi yatakayokuwa ya kudumu nikitishwa pia na takwimu zenu madaktari zinazoonyesha kati ya watu 20 hapa bongo 7 au 5 wana gonjwa lenu lile baya ukiangalia nina mtoto wa kuangalia anayenitegemea kila kitu na nusu ya malengo yangu mengi kimaisha sijatimiza baaadoooo.

Basi ndugu yenu nikajenga urafiki na mmasai mmoja analinda hapa ofisin kwetu nikawa nauliza hili na lile nikajikuta naulizia uwezekano wa kuoa Mmasai, kwanza ameniuliza kama nina ng'ombe zaidi ya 10 au hela ya kununulia ng'ombe 5 nikamjibu sio ishu hiyo, tukaongea mengi ila kubwa zaidi akaniambia mke wa kimasai ni kama mhindi au mwarabu fujo za kiswahili hataki,

Wazazi wake wanakwambia vyote huyu ni mkeo sio vingine hakuna kumpiga au kumfanyisha kazi labda atake mwenyewe kuchakarika, akanionesha picha za wale masai walioenda shule aisee ni pisi kali kweli kweli sio kidogo ila mpango wangu ni kupata yule wa bush bushi ili nimpendezeshe mwenyewe.

Sasa wadau kama kuna mtu anajua lolote kuhusu wake wa jamii hii naomba tuambiane kabla sijaingia mzima mzima.
Yaani kumbe mchumba mwenyewe wa Kimasai hujampata.

Wewe unataka kuoa kabila na si mke.
 
Nasikia ukikuta mkuki umechomweka mlangoni we nenda katafute sehemu nyingine yakulala
 
Mie mmasai pure ,ila nina touch screen nina mtu wangu mzuri tu. Ananiheshimu.
Uongo huo eti tunaolewa na watu wetu uongo,ni mtu yule aliyekidhi sheria zetu.
IKiwemo heshima,upendo na uaminifu, je unaweza kuua simba??
Simba, mzee baba maana ng'ombe umesema unaweza toa .
 
Kataa ndoa naomba msome kwa makini sio kila mtu aliyepigwa matukio kwenye mapenzi anakata tamaa jumla.

Haya maisha bila kuwa na mwanamke wa kuelewaka mtu utajikuta unalala hadi na kuku au mbuzi kimapenzi au unapiga punyeto hadi mzee wa kazi anasinyaa jumla unakuwa mlemavu wa kudumu mwisho unapigwa moto wa milele huko mbinguni.

Kwa utangulizi iko hivi. Nilioa binti wa watu ndoa ya kanisani kabisa ila tukashindwana kuendelea kwa sababu kadhaa tuna mtoto mmoja miaka 5 ndoa haijavunjwa kwa maana ya talaka ila niko naelelea huko siku sio nyingi.

Saaaasaaaa katika kuvumilia vumilia na umalaya wa hapa na pale nikaona haya sio maisha, ukiangalia mimi ni mmoja kati ya wanaume wale tusiokata tamaa kwa changamoto za kijinga jinga na kwa kusumbuliwa na yale mazoea ya kupata cha adubuhi, cha usiku na cha mchana au muda wowote ule

Nikaona ni bora nikatafuta mahusiano mengine rasmi yatakayokuwa ya kudumu nikitishwa pia na takwimu zenu madaktari zinazoonyesha kati ya watu 20 hapa bongo 7 au 5 wana gonjwa lenu lile baya ukiangalia nina mtoto wa kuangalia anayenitegemea kila kitu na nusu ya malengo yangu mengi kimaisha sijatimiza baaadoooo.

Basi ndugu yenu nikajenga urafiki na mmasai mmoja analinda hapa ofisin kwetu nikawa nauliza hili na lile nikajikuta naulizia uwezekano wa kuoa Mmasai, kwanza ameniuliza kama nina ng'ombe zaidi ya 10 au hela ya kununulia ng'ombe 5 nikamjibu sio ishu hiyo, tukaongea mengi ila kubwa zaidi akaniambia mke wa kimasai ni kama mhindi au mwarabu fujo za kiswahili hataki,

Wazazi wake wanakwambia vyote huyu ni mkeo sio vingine hakuna kumpiga au kumfanyisha kazi labda atake mwenyewe kuchakarika, akanionesha picha za wale masai walioenda shule aisee ni pisi kali kweli kweli sio kidogo ila mpango wangu ni kupata yule wa bush bushi ili nimpendezeshe mwenyewe.

Sasa wadau kama kuna mtu anajua lolote kuhusu wake wa jamii hii naomba tuambiane kabla sijaingia mzima mzima.
Vitoto vya kimasai vitamu Bwana. Hilo tu ndio nalijua.
 
Back
Top Bottom