Naomba kujuzwa lolote kuhusu Wanawake wa Kimasai. Nataka kuoa mwanamke wa jamii hiyo

Tafuta hela.
Usikimbilie kupata demu wa kimasai wa bushi huko ukidhania utakwepa gharama za huduma kwa wanawake wa kisasa.
 
Uwe tayari kukubaliana na eliyekeketwa
 
Mungu anafuatilia kiapo chako ndugu, tubu na uache hiyo dhambi. Mpende mkeo
Mungu huyo huyo alishuhudia changamoto zangu zote, na nilimshirikisha kabisa kwenye maombi kwamba ikiwa hii ndoa haikuwa na baraka zake nilikurupuka kwa tamaa zangu naomba iyeyuke, majibu ndo hayo niliyopata and i am good now.
 
Nimekaa sana umasaini, nina experience nao sana, ni Kweli wana maadili, wana mashape na wazuri haswaa, ila wagawaji sana, hawajui kukataa. Hii ni kutokana na experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…