Naomba kujuzwa lolote kuhusu Wanawake wa Kimasai. Nataka kuoa mwanamke wa jamii hiyo

nikitishwa pia na takwimu zenu madaktari zinazoonyesha kati ya watu 20 hapa bongo 7 au 5 wana gonjwa lenu lile baya ukiangalia nina mtoto wa kuangalia anayenitegemea kila kitu na nusu ya malengo yangu mengi kimaisha sijatimiza baaadoooo.
Hapa Mwana umesema pointi nzuri sana.
 
Zaidi ya asilimia 95% wamekeketwa, hivyo hawana kile kiharage kakuwapea utamu wa tendo.

So ukifanya nae tendo la ndoa mpaka hadi akojoe labda umoja wa mataifa uingilie kati šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Zaidi ya asilimia 95% wamekeketwa, hivyo hawana kile kiharage kakuwapea utamu wa tendo.

So ukifanya nae tendo la ndoa mpaka hadi akojoe labda umoja wa mataifa uingilie kati [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu adabu na uwezo wa kupata watoto wawili watatu basi inatosha.since hawana antena it mean na hamu ya ngono hawana nitajipigia kivyangu.
 
Yaani kumbe mchumba mwenyewe wa Kimasai hujampata.

Wewe unataka kuoa kabila na si mke.
 
Nasikia ukikuta mkuki umechomweka mlangoni we nenda katafute sehemu nyingine yakulala
 
Mie mmasai pure ,ila nina touch screen nina mtu wangu mzuri tu. Ananiheshimu.
Uongo huo eti tunaolewa na watu wetu uongo,ni mtu yule aliyekidhi sheria zetu.
IKiwemo heshima,upendo na uaminifu, je unaweza kuua simba??
Simba, mzee baba maana ng'ombe umesema unaweza toa .
 
Vitoto vya kimasai vitamu Bwana. Hilo tu ndio nalijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…