Naomba kujuzwa lolote kuhusu Wanawake wa Kimasai. Nataka kuoa mwanamke wa jamii hiyo

Simba???.. naua kama naua panya leta mengine nijiandae vema.
 
Simba???.. naua kama naua panya leta mengine nijiandae vema.
Uwe na pesa tu kwa maana utatoa vingi kwanza ukienda huko kutoa barua ya uchumba lazima uje na pombe za kutosha debe 5 na vitu vya jumla vya kutosha sio sukari kg1 , sijui nini hapana maana hata wao wakioa wanajitoa sana, hata kama mwanamke sio bikra wewe utamkuta ni bikra maana unaenda kuoa kijijini.

Halafu siku unaenda kutoa posa ndio unakuja na pombe zingine debe 10 , ndio utaratibu, halafu mashuka yale yakimasai watakuambia ulete sasa sijajua wazee wapo wangapi, fimbo ya babu wa msichana, khanga za mama na mashangazi, na mama wadogo, pea moja sawa tu ila kwa heshima ni pea 2 kwa kila mmoja , halafu koti lababu , ugoro, kilo za nyama zakuchomwa hiyo siku na utagharamia zote hizo. Kingine blanketi ya babu na bibi, baba na mama, napesa taslim kama huna ng'ombe wakutoa ila lazima dume achinjwe jiandae kama watakubali , kukukaribisha kwenye boma kuna tambiko litafanywa utavaa kimasai .

Hili jingine utapewa baada ya ndoa ikikamilika utakabidhiwa ng'ombe na mbuzi zakutosha kama wana mashamba utapewa kidogo. Halafu ndio Mkaanze maisha yenu. Ila hawapendi mkienda mbali.

Mahari kwa hizo ng'ombe ni ifuatavyo kama anabikra ng'ombe ni 80 ila kwa sasa ni 50 jua hilo, ambaye amezaa ukaamua kumuoa watano tu. Kwa ambaye hana mtoto na anaelimu na hana bikra ni ng'ombe 15 .
Haya kazi kwako sasa
 
Daah.
 
Kijiji gani hicho ndugu, nikafanye utalii wa macho?
 
E bwana eh, urefu wa sketi anayovaaga mwanamke,ndo kipimo cha akili zake. Kubali,kataa,ukweli ndo huo.
Hakuna, kuna baadhi ya walokole wanavaa sketi ndefu ila ni wakorofi na jeuri.
 
Duh vipengele vingi sana waoane wenyewe
 
Acha kukwepa majukumu,OA kwenu

Huu ujinga wa kuanza kutujazia server humu kuanza kuomba kuelewa makabila yasiyokuhusu wakati muhusika una wewe ni stupidity

On top of that una wajibu wa kuoa kwenu,usipooa kwenu wao waolewe na nani?

Kiazi kabisa
 
Ukienda kule bush kigezo cha kwanza utapimwa kwa uwezo wako kimwili(phisical fitness) kuua simba , pili jiandae kisaikolojia wanawake waki masai wengi wame keketwa hivyo ili akojoe(afike kileleni) lazma umsugue haswa , mwisho kabisa hakuna style nyingine wanayo jua zaidi ya kifo cha mende hawajuagi kujishughulisha akisha lala ame lala mithili ya gogo
 
Daaah mambo ni mengi, Kazini ninapo fanya kazi nipo na Bint wa kimasai yupo vizur lakini hapendi mambo ya Wanume mpaka tunahisi atakua kakeketwa na ukitongozwa ana nuna na hataki kiongea tena na aliyemtongoza, ni Msichana wa miaka 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…