Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Nenda hospital..
Na usiku huu inaonekana homa imekua kali
Usingizi umepaaHulali au ndo mawazo ya biashara 🤣
TetracyclineHabari wakuu ....
Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa , ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hiloo ....
Kuna namna ya kutibu ila si rrasmi na hatari. Ni suala la kujipanga kwa msosi wa kuttosha na maji ya kunywa sana. Ukiova dose unapona tuNa uombe isiwe ni hii super gonorrhea ambayo haisikii cha antibiotics wala nini. Utamwona Abdallah Kichwa akioza na hao jamaa waning'iniaji wakidondoka chini kabisa.
Ukipona usirudie tena kuuza mechi!
mizizi au majani ya mbono kaburi na mizizi ya mchongoma,,chemsha kwa pamoja lita moja na nusu inywe siku nzima,,,,usipopona umerogwaHabari wakuu ....
Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa, ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hilo.
We dogo embu Punguza kugonga Peku peku utakufa kabla ya siku zako..Habari wakuu ....
Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa, ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hilo.
Ukipona..karibu chaputa...sisi sa hv tunawaza ujenzi na maendeleo mengine tu