Naomba kujuzwa matibabu ya gono

Naomba kujuzwa matibabu ya gono

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu ....

Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa, ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hilo.
 
Pole sana ndugu. Sijuhi kwa sasa lakini miaka ya 70s magonjwa ya zinaa kama Syphilis(kaswende), Gonorrhea(kisonono), Malengelenge kwenye uume, Kabambaru na mengineyo yalijuwa yanatibiwa kirahisi sana na Penicillin / PEN V.

Nakumbukuka tulikuwa tunapeana ushauri kwamba ukipata kishitobe/tishitobe kabla ya kukinyandua lazima kwanza ujue ni nani atakuchoma sindano ya PEN V na anachoma kwa bei gani [emoji4]. Daaaaaah umenikumbusha mbali sana.
 
Habari wakuu ....

Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa , ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hiloo ....
Tetracycline
 
Na uombe isiwe ni hii super gonorrhea ambayo haisikii cha antibiotics wala nini. Utamwona Abdallah Kichwa akioza na hao jamaa waning'iniaji wakidondoka chini kabisa.

Ukipona usirudie tena kuuza mechi!
Kuna namna ya kutibu ila si rrasmi na hatari. Ni suala la kujipanga kwa msosi wa kuttosha na maji ya kunywa sana. Ukiova dose unapona tu
 
Habari wakuu ....

Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa, ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hilo.
mizizi au majani ya mbono kaburi na mizizi ya mchongoma,,chemsha kwa pamoja lita moja na nusu inywe siku nzima,,,,usipopona umerogwa
 
Habari wakuu ....

Naomba kujua matibabu rahisi kwa mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa gono , mtu ambaye tayari ume wake umeshaanza kutoa maji maji ( Usaa ) kabisa, ni dawa gani nzuri na za uhakika anafaa kutumia za hospital au miti shamba ili kupona tatizo hilo.
We dogo embu Punguza kugonga Peku peku utakufa kabla ya siku zako..
Kubwa zima u naugua Gono yan mtihan wa kumaliza kidati cha nne wiki zijazo we ushaanza kuuguA
Teh teh teh
 
Subiri ushauri wa madokta wa JF upoteze mashine yenyewe kabisa. Unavyozidi kukaa bila ya tiba ndio athari inazidi kuwa kubwa.
Nenda hospitali upewe dawa kitaalamu.
Ngono unafanya zembe hata matibabu pia unataka kufanya kizembe??
 
Jamaa anataka tiba sio porojo. Jaribu cefixime 400 mg +500mg azithromycin, then 500mg azithromycin od ×2/7.
 
Back
Top Bottom