Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

death strokes

Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
49
Reaction score
126
Habari zenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote.

Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo hata mm cjaelewa hitaji lako, je utaitaji jununua bidhaa on line? Au
 
Njoo uone comments ujibu ili utatuliwe shida yako,hivi inakuaje unaleta jambo halafu unapotea?
Ni bando au ndivyo ulivyo?
 
Unataka uingize pesa kupitia simu Yako? Yaani kwakuuza habari au kufanya kazi online? Basi subiri muongozo
ndio naomba unielekeze mkuu yaani hizi mambo huwa nasikia ila sijawi zielewa maana tunatumia smart zetu vibaya kumbe kuna njia ya kuingiza pesa
 
Jifunze forex mkuu utanishukuru baadae...
 
Kwa sasa kuna huyu bwana anaitwa ChatGPT, ukimtumia vizuri kuandika articles na copywriting ukauza ujuzi wako mtandao kama freelancer.com unaweza kuingiza ela ya kutosha hata laki 2-3 kwa wiki. La msingi ni ukomae huko upate client. Ila mwanzo mgumu ila ukikomaa pia ukaongeza jinsi ya kuitumia kuandika articles zenye vigezo vya SEO utakuwa safe side.
 
asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…