Tech ni broad
Kuna mambo ya websites na ndani yake kuni tawi mbili.La kwanza inaitwa Front end development hiyo inadeal na muonekano wa websites na la pili linaitwa Backend Development hiyo inadeal na servers(yaani kudeploy website yako on the internet ili iwe accessible to users ) na ukiwa nazo mbili unaitwa Full Stack Developer....hii inatakiwa ujue HTML, CSS , Javascript na frameworks zake kama React, Nextjs, Angular , node.js n.k
Mara nyingi ukiskia mtu ni techie basi yupo kwenye hii website development kwa hiyo using that logic u can see its highly competitive kwa sababu ina low barriers of entry
Ukitaka kujua hii utaisoma kwa documentation Google MDN documentation na utaona sehemu ya hizo vitu zote nimetaja
Ile ambayo I recommend highly ni artificial intelligence kwa sababu ina pesa from practical experience....within 1 year after umefanya kazi assuming u start from nothing tayari utakuwa upper middle class na ukifanya 2-3 yrs basi utatajirika tu.
Lakini ni challenging kwa kiasi fulani inabidi ujitolee sana uwe consistent na disciplined ,persistent usigive up. Ni challenging sana lakini si ngumu...mtu yeyote mwenye logical thinking ya above average na uelewa wa hisabati kiasi cha wastani anaweza kumudu.
Artificial intelligence unadeal na vitu ambazo zinaitwa neural networks , they try to mimic how the human brain works ili kufind patterns in data.
Artificial intelligence ina tawi zifuatazo:
1. Kuna tawi la kudeal na numerical analysis yaani u find trends in data that is in numerical form....mfano predicting real estate prices hiyo ni a very simple example tu ile uelewe
2. Working with text data. Hii inaitwa Natural Language processing na inadeal na analysing data that is in words or speech. Mfano kule twitter unaweza taka kufanya analysis ya tweets ili kuona kama hii news ya Chalamila kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ilipokelewa aje na watu kwa kutumia hilo jina Chalamila kama keyword ....was it positive or negative? Hii ni kitu kinaitwa sentiment analysis. Nafikiri unafahamu computers only understand 1 or 0 kwa hivyo kuna process ambayo tunatumia kuconvert words into numbers ambayo inaitwa encoding.
Example nyingine ni kuunda Chatbots zenye zinaelewa mambo na kujibu maswali kama binadamu
3. Computer vision hii inadeal na video and image data. Mfano crime detection in cctv mfano mtu akiruka fence or fighting in public , traffic offence detection, crop disease detection, medical image analysis, au using geospatial images I can try and predict whether farmers will have a bumper harvest or not, I can detect all swimming pools or tennis courts in Masaki, classify ocean waste, classify marine life based on images or videos n.k
Ina pesa na mara nyingi u don't need to write code from scratch, unatumia code ambayo researchers washaunda na kuicustomise kidogo tu ....hii process yote inaitwa transfer learning ...ukishakuwa mzoefu inakuwa kazi repetitive na rahisi sana unakula zako $300-$2000 from one project hadi it feels like robbery without violence
Sasa ukisha unda model mfano hiyo crime detection model u need to operationalise it ili iweze kutumika na mara nyingi huwa we do so as a web app kwa hivyo hapa mambo ya website development yanaingia hapa.
Ndio usome hii kuna many free resources.
1. Datacamp usually gives many scholarships
2. Cousera has financial aid Google how to apply for it. Ukiwa huko tafuta course zifuatazo na uzifanye kwenye huu mpangilio vile nimeziandika
- IBM data science
- machine learning specialisation
- deep learning specialisation
- Natural language processing
- Machine learning engineering for production (MLOps) - this deals with deploying your models ili zikuwa accessible on the Internet ama devices
- GANs
Baada ya hii fanya projects kadhaa kuna YouTube kama za Krish Naik , Murtazas Workshop utaona haya yote
Na pia usisahu Kupractise for free on kaggle
Kama vile umeona inahitaji effort sana lakini this is to be expected kwa sababu hii ni kitu inaweza kuchange your life in a few yrs u will probably never need to work again
Haya vitu zingine kama Data Engineering, Google hii na kuna free resources hapo coursera tu
Kuna Cyber Security Google hii tu tena cousera utafaidika.
Ukishaamua ni gani niko open to further questions
Isingekuwa sitaki kublow up my cover humu, I would have mentored anyone interested for free.
Mara nyingi nilikuwa na Nigerians na Kenyans kwa timu yangu mtanzania nishai ona mara moja tu.
Hata hivyo, ninakutakia kila la heri in this journey of self discovery.
Sent from my SM-G960F using
JamiiForums mobile app