Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Halafu KIA inapelekwaje kishumunduMimi huwa natuma kupitia Precision Airways toka Dsm kwenda KIA
Halafu KIA inapelekwaje kishumunduMimi huwa natuma kupitia Precision Airways toka Dsm kwenda KIA
eti jamani[emoji23]Halafu KIA inapelekwaje kishumundu
Namlipia mtu nauli ya ndege ili apeleke huo mzigoGharama zake??je safari zao ni kila siku
Huyu jamaa ni boya sanaHahaaah acha izo mkuu
sipajui huko madongo poromoka.Halafu KIA inapelekwaje kishumundu
Atakua ndugu yake yule Mr Misifaeti jamani[emoji23]
Daaah mkuu mi mzigo wangu ni techno ya elfu hamsini😂😂😂Namlipia mtu nauli ya ndege ili apeleke huo mzigo
Nimemaanisha ndugu yako anaishi hapo hapo kia kwani?sipajui huko madongo poromoka.
Ndio kwenu ?
Hahaaaah mkuu unanivunja mbavu...alafu hapo ukute kumbe mkuu wewe ni katoto ka form three mmerudi nyumbani sababu ya shule kufungwa kwa coronasipajui huko madongo poromoka.
Ndio kwenu ?
Jaribu kuongea na watu wa mabasi mkuuDaaah mkuu mi mzigo wangu ni techno ya elfu hamsini😂😂😂
Ni binti yangu pia ni air hostess. Nikuunganishe nae ?Nimemaanisha ndugu yako anaishi hapo hapo kia kwani?
Sawa mkuu,shukrani kwa mchango wakoJaribu kuongea na watu wa mabasi mkuu
Form 3 nilisoma miaka 12 iliyopita. Kwa sasa nashughulika na ulinzi wa taifa langu. Ukihitaji kuniona njoo Tegeta kesho saa 11 kamili jioniHahaaaah mkuu unanivunja mbavu...alafu hapo ukute kumbe mkuu wewe ni katoto ka form three mmerudi nyumbani sababu ya shule kufungwa kwa corona
Mimi huwa natuma kupitia Precision Airways toka Dsm kwenda KIA
MsalimieNi binti yangu pia ni air hostess. Nikuunganishe nae ?
Nimwambie nani anamsalimia ?Msalimie
Hahaaaah sawa kaka mkubwaForm 3 nilisoma miaka 12 iliyopita. Kwa sasa nashughulika na ulinzi wa taifa langu. Ukihitaji kuniona njoo Tegeta kesho saa 11 kamili jioni
Utaweza kuja ?Hahaaaah sawa kaka mkubwa