Naomba kujuzwa namna ya kutuma simu kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani

Hahaaaah mkuu unanivunja mbavu...alafu hapo ukute kumbe mkuu wewe ni katoto ka form three mmerudi nyumbani sababu ya shule kufungwa kwa corona
Form 3 nilisoma miaka 12 iliyopita. Kwa sasa nashughulika na ulinzi wa taifa langu. Ukihitaji kuniona njoo Tegeta kesho saa 11 kamili jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…