fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 537
- 556
Unadhani kila mtu anajua unatokea wapi kwenda Arusha?Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli nauli ya kwenda arusha .
Kutokea wapi?36000
Mkuu ukimtumia anaila kata kwa Shabiby online...just kiddingKama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli nauli ya kwenda arusha .
SawaSoma upya ulichokiandika, gundua makosa kadhaa, rekebisha alafu andika upya.
Natoka DarUnadhani kila mtu anajua unatokea wapi kwenda Arusha?
Si ameandika hapo Dar to Arusha? Mbona watu hamsomi vizuri post?Kutokea wapi?
Dah.... Kuna vitu so vya kuuliza...[emoji2960]Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli nauli ya kwenda arusha .
Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha
Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal
Ame-editSi ameandika hapo Dar to Arusha? Mbn watu hamsomi vizuri post?
Nimetokea Dar juzi, nililipa Tsh 33,000 nikashukia Moshi. Ila ningeweza kukaa tu mpaka Arusha, nahisi ndio nauli yake hiyo. Ila ikitokea wakasema Tsh 33,000 ni mpaka Moshi, then mpaka Arusha unapngeza 3,000 inakuwa Tsh 36,000.Natoka dar
Itakuwa kaedit sasa hivi...unafikiri angeulizwa??Si ameandika hapo Dar to Arusha? Mbn watu hamsomi vizuri post?
SawasawaItakuwa kaedit sasa hivi...unafikiri angeulizwa??
Kutoka Dar mpaka Moshi/Arusha nauli ni moja. Kama ni 33,000/- ukishuka Moshi au Arusha ni wewe tu. Hamna punguzo hamna nyongeza.Nimetokea Dar juzi, nililipa Tsh 33,000 nikashukia Moshi. Ila ningeweza kukaa tu mpaka Arusha, nahisi ndio nauli yake hiyo. Ila ikitokea wakasema Tsh 33,000 ni mpaka Moshi, then mpaka Arusha unapngeza 3,000 inakuwa Tsh 36,000.
Ukweli mkubwa huu,Kutoka Dar mpaka Moshi/Arusha nauli ni moja. Kama ni 33,000/- ukishuka Moshi au Arusha ni wewe tu. Hamna punguzo hamna nyongeza.
Kwa mleta mada, hiyo route ina magari mengi sana. Unaweza kupata hata gari la 22,000 ni ujanja wako tu.
Abiria ni wengi sasa hivi, hawapunguzi nauli.Kutoka Dar mpaka Moshi/Arusha nauli ni moja. Kama ni 33,000/- ukishuka Moshi au Arusha ni wewe tu. Hamna punguzo hamna nyongeza.
Kwa mleta mada, hiyo route ina magari mengi sana. Unaweza kupata hata gari la 22,000 ni ujanja wako tu.
Arusha to DarKutokea wapi?
Yes shule nyingi zinafunguliwa weekend hii. Lakini kama nilivyosema hapo kuwa ukiwa mjanja unapata tu. Gari ni nyingi sana.Abiria ni wengi sasa hivi, hawapunguzi nauli.