Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli nauli ya kwenda arusha .
Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha
Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal
Sijui km mwendaji
 
Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha.

Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
Ukitaka usafiri mzuri panda Kilimanjaro 36000, au Esther luxury 34000
 
Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha.

Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.

Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha.

Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
Bei zimeshuka: luxury 25k, normal 15k
 
Back
Top Bottom