BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Poleni majukumu humu jamvini.
Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani? Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili
Huyo mpaka sasa hana mkataba na wewe hivyo ni hisani tu nenda serikali ya mtaa watamwita watampa siku aondoke au wiki ,hao viongozi watakuwa mashahidi akigoma kuhama mtavunja mlango na kumuhamisha kwa nguvu
Wenye nyumba ebu tafuteni shughuli nyingine za ziada kuliko kutegemea kodi kuendesha maisha!
Mwezi mmoja tu unataka umfukuze mpangaji? Kwani hakupi ushirikiano? Je biashara kaifunga?
vitu vingine sio vya kuja kuomba ushauri humu.kweli wenyenyumba wengi mmeachiwa nyumba za urithi ila elimu hamkupewa.wee unaona hali ilivyo ngumu kuna wengine hawajapewa miez 6 na hawaj humu kulopoka km wewe zumbukuku
Mkuu mwezi mmoja tu unalalamika aisee,na umesema hajawahi kukusumbua huko nyuma,why usiwe mvumilivu atakupa pesa yakoSorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili
usipodaiwa huku duniani utakuwa na tatizo weweItakuwa na wewe unadaiwa!!
mimi nimeshindwa hata kumsaidia mwenye nyumba kwani kasema Kodi mpya kashindwa kulipaWe mwenye nyumba inaonekana una roho ngumu sana mtu kama alikuwa anakulipa vizuri miaka ya nyuma huwez kugundua kwamba kwasasa mambo yake sio mazuri uvumilie kidogo?
Kweli kabisa[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]vitu vingine sio vya kuja kuomba ushauri humu.kweli wenyenyumba wengi mmeachiwa nyumba za urithi ila elimu hamkupewa.wee unaona hali ilivyo ngumu kuna wengine hawajapewa miez 6 na hawaj humu kulopoka km wewe zumbukuku
Braza mvumilie mwanaume mwenzio huyo! Maisha ni magumu hasa kwa wenye familia...Unataka familia yake ikaishi wapi chief. Mpe msaada tu atakulipa mambo yakianza kutulia mwezi ujao.Poleni majukumu humu jamvini.
Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?
Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.