emavalery
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 628
- 1,243
Kuwa mvumilivu mkuu, muite ongea nae mfikie muafaka...maisha yana changamoto, ikiwa sio msumbufu muite mfikiane muafaka ila kama ni msumbufu hapo mtoe, ndio tabja yake.Poleni majukumu humu jamvini.
Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?
Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.