Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hayo ni masuala ambayo yapo kisheria ..lakini kama hana mkataba halafu wewe unataka kumpa notice haingii akilini..notice hufanya vizuri ikiwa mliandikiana mikataba wakati anaingia kwa nyimba yako.fanya nae mazungumzo myamalize mkuu kama hakulipi huo mwezi mmoja bora aachie chumba upangishe mwingine kwa maandishi..ila ukienda kumpa notice ile notice inampa huyo mpangaji siku 90, za kujiandaa ili apate mahali salama..kumbuka hizo siku 90 hatalipia hata sumni.