Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
uroongo bro.! hyo ilikuwa kitambo sana, sku hzi notice ya pango la chumba inalipiwa.kumbuka hizo siku 90 hatalipia hata sumni
sasa si naongea nae kwanza kuna mda mambo yana kwama na unaweza shangaaa akakulipa youte kwa wakati mmoja cha msingi kaanae chini kwanza muonge vizuriiii mimi jamaa yangu hajalipa mwezi wa 3 saizi na mwenye nyuma ni mwelewa sanaSorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili
Mtafunie mkewe,,Poleni majukumu humu jamvini.
Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?
Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
HAKUNA HII KITU KWENYE SHERIA ZA TANZANIA.3 months notice
HAKUNA HII KITU KWENYE SHERIA ZA TANZANIA.
Yaani mwezi mmoja tu umepita hajalipa hadi unaleta malalamiko humu mkuu?Mimi wapangaji wangu kuna mmoja ana miezi mitano hajalipa na mwingine miezi 4 lakini bado naendelea kuwavumilia maana huwezi kujua mtu ana matatizo gani.Sorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili
Mkuu Mungu akubariki sana kwa moyo huo.......nyumba ni zaidi ya biashara nyumba ni stara.......Yaani mwezi mmoja tu umepita hajalipa hadi unaleta malalamiko humu mkuu?Mimi wapangaji wangu kuna mmoja ana miezi mitano hajalipa na mwingine miezi 4 lakini bado naendelea kuwavumilia maana huwezi kujua mtu ana matatizo gani.
Hivi vibanda tusivitumie kuwanyanyasa wengine huwezi kujua kesho atakuwa nani.Nyumba sio gari useme inatumia mafuta.
Pia kwa mwenye nyumba ambaye hajishughulishi na shughuli nyingine ya kujipatia kipato badala yake kutwa yupo nyumbani kuwinda kodi za wapangaji huyo hawezi kumvumilia mpangaji ni kero kila mara.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Binafsi huwa nawachukulia wapangaji wangu kama ndugu kabisa na huwa tunaishi vizuri na wengi wao wameishi hapa hadi wamefanikiwa kujenga nyumba zao na huwa wanakuja kunisalimia kama uhusiano mzuri tulokuwa nao.Mkuu Mungu akubariki sana kwa moyo huo.......nyumba ni zaidi ya biashara nyumba ni stara.......
Tujitahidi kuwa wastahimilivu kwa wenzetu....
Mimi nilishawahi kufukuzwa nyumba ya kupanga tena week tu baada ya kupata ajali iliyoniweka nyumbani kama miezi 6.....nikalazimika kurudi kijijini kujipanga upya.....imagine mtu tuliyekaa miaka mi 4 na hakuna hata siku moja niliyowahi kumzungusha kodi yake.....kodi ya kumpa nilikuwa nayo isipokuwa nilimuona hana ubinadamu......nikaamua kumuachia nyumba yake.......
Kuna muda wenye nyumba wanakuwaga wanyama sana......
Hongera mkuu kwa kuweka ubinadamu mbele badala ya Mali.....
Nyumba na vitu vingine sio vitu vya kujivunia maana tutakufa tutaviacha hapa hapa duniani kesho kwa Mungu utaulizwa ulivitumia vipi mali alizokuruzuku Mungu kwa wengine.Mkuu Mungu akubariki sana kwa moyo huo.......nyumba ni zaidi ya biashara nyumba ni stara.......
Tujitahidi kuwa wastahimilivu kwa wenzetu....
Mimi nilishawahi kufukuzwa nyumba ya kupanga tena week tu baada ya kupata ajali iliyoniweka nyumbani kama miezi 6.....nikalazimika kurudi kijijini kujipanga upya.....imagine mtu tuliyekaa miaka mi 4 na hakuna hata siku moja niliyowahi kumzungusha kodi yake.....kodi ya kumpa nilikuwa nayo isipokuwa nilimuona hana ubinadamu......nikaamua kumuachia nyumba yake.......
Kuna muda wenye nyumba wanakuwaga wanyama sana......
Hongera mkuu kwa kuweka ubinadamu mbele badala ya Mali.....
Mungu akuhifadhi ili uwe alama ya binadamu wanaoangalia utu kuliko kitu.....iko siku utavuna matunda mema ya utu wako......Binafsi huwa nawachukulia wapangaji wangu kama ndugu kabisa na huwa tunaishi vizuri na wengi wao wameishi hapa hadi wamefanikiwa kujenga nyumba zao na huwa wanakuja kunisalimia kama uhusiano mzuri tulokuwa nao.
Huwezi kunikuta hata siku moja namkumbusha mpangaji kuhusu kodi hata kama najua amepitiliza muda maana najua kwa vyovyote vile atakuwa amepata matatizo hivyo akiwa vizuri atanicheki.
Na nilishamwambia mke wangu chonde chonde asije akawabughudhi wapangaji nashukuru Mungu ni mwelewa hakuna matatizo na wapangaji.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Kweli unashindwa kuwa mvumilivu kiasi hiki. Yaani unaweza kuja kupata kimeo. Jaribu kuongea naye kujua tatizo ni nini.Sorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili
Ninakubaliana nawe Mkuu asilimia Mia!Wenye nyumba ebu tafuteni shughuli nyingine za ziada kuliko kutegemea kodi kuendesha maisha!
Mwezi mmoja tu unataka umfukuze mpangaji? Kwani hakupi ushirikiano? Je biashara kaifunga?
Wenye nyumba ebu tafuteni shughuli nyingine za ziada kuliko kutegemea kodi kuendesha maisha!
Mwezi mmoja tu unataka umfukuze mpangaji? Kwani hakupi ushirikiano? Je biashara kaifunga?
Ulimuuliza sababu ya kuchelewa? Je yeye alikuja kujieleza sababu za kuchelewa kulipa?Sorry nahisi sijajieleza vizuri.
Ni mpangaji wangu mwaka wa pili sasa ana amekuwa akilipa on time ila alitakiwa kulipa kodi mpya tangia tarehe 1 Jan 2021 ila mpaka sasa hajalipa na tumesha anza mwezi wa pili