Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

DR Mambo Jambo
 
Hao madaktari hawapo serious kabisa! Kwanza wameshindwa kabisa kukupa malezo yaliyonyooka,pili uvimbe wa kawaida ni ngumu kujirudia baada ya surgeries mbili! Hapo kunashinda kwanzia hao madktar kuna kitu wanakuficha.
Nimefanya surgery moja
 
Hilo ni jambo tunaishi nalo. Unadhani hata sisi dada zako tuna maisha? Au wakuzaa nao?? Hell no!!! .. we unadhani kwanini mimi nmelipa mgongo hilo swala? Kwasababu sitarajii kuzaa leo wala kesho. Maisha yangu hayanihitaji kuwa na uzao kwa sasa ama kwa karibuni
Nilikushauri nikidhani labda pengine unapambana unahitaji mtoto siku za usoni, siunajua humu hatujuani nikahisi pengine umejipata mdogo angu uzae..😊 ila usijali kila kitu chako kitakaa sawa very soon utapata wa maisha na utatuletea wakina mamkubwa.
 
Una history ya kutumia vizuia ujauzito vya aina yoyote ile?

Je, una mwili wa unene au wastani?

Umeshawahi kushika ujauzito na ukautoa?

Umeshawahi kutumia dawa zozote za kuzuia ujauzito kama P2? [emoji848]

Ukijibu haya kwa uwazi na ufasaha nitakuelekeza cha kufanya.
 
Sijawahi kutumia uzazi wa mpango
Una uhakika au unatuficha ili tusikuseme? [emoji848] Usiogope kusema ukweli, kama umeshawahi meza vile vidonge vya aina yoyote vya kuzuia ujauzito wewe sema usijiskie hofu wala vibaya sema tukupe njia za kufanya.
 
Dah!
Dada unaweza kuzaa kama huna kazi na huna mtu wa kuzaa nae?!
Kusubiria hadi upate kazi ni kujitesa na kupoteza muda tu, kutunza mtoto na mama yake sio jukumu lako ni la baba.

Kuhusu mwanaume, unakosaje kwa mfano au wewe sio mzuri hadi ukose mwanaume wa kukupa ujauzito na kuzaa nae watoto muishi pamoja.
 
Ndugu Asante kwa kunijibu!
Mimi Nina ovarian cyst sio fibroids,
Na kuzaa sio suala la umri ni uwezo wa kulea mtoto, napenda sana watoto, sana, ila namtunzaje
Ukiwaza unamtunzaje na haujampata maana yake haupo tayari na haupo serious na maamuzi ya kuwa mama wa familia.
 
Msikilize daktari amekwambiaje! Usiogope nenda ukafanyiwe tena.
Na nadhani hiyo ndiyo itakuwa op ya mwisho.
 
Kusubiria hadi upate kazi ni kujitesa na kupoteza muda tu, kutunza mtoto na mama yake sio jukumu lako ni la baba.

Kuhusu mwanaume, unakosaje kwa mfano au wewe sio mzuri hadi ukose mwanaume wa kukupa ujauzito na kuzaa nae watoto muishi pamoja.
Sio mzuri ndio!
Hawanitaki!
Kuna la nyongeza
 
Una uhakika au unatuficha ili tusikuseme? [emoji848] Usiogope kusema ukweli, kama umeshawahi meza vile vidonge vya aina yoyote vya kuzuia ujauzito wewe sema usijiskie hofu wala vibaya sema tukupe njia za kufanya.
Ndugu yangu,
Mimi ndo mwenye tatizo!
Nifiche namkomoa nani,
Mimi sijawahi tumia uzazi wa mpango aina yeyote Ile!
Big nooooo!
 
Kati ya hivyo ulivyosema vyooote nimefanya kimoja,
Kutumia p2 tena nimetumia mara mbili tu!
Na kwa tofauti ya miaka zaidi ya mitatu
 
Yes!
Mtu ukiwa huna mwanaume wa maana useme mtasaidiana kujenga familia inabidi ukizaa ujitazame mwenyewe unaleaje, na Mimi bado uwezo huo Sina, nitazaa siwezi kulea nani analea sasa!
 
Ni kweli uko sahihi sana,lakini jambo gumu ni kuwa huwezi kupona bila kujaribu kwa kuogopa kutapeliwa.Unapokuwa na ugonjwa siyo lazima upone,kuna magonjwa mengine unakuta ndiyo Mungu amepanga iwe njia ya mtu kuondoka duniani.Nenda mhimbili,Bugando na kila mahali mpaka appolo India,watu wanafariki kwa changamoto mbalimbali za magonjwa na hakuna anayesema wametapeliwa.Ili uweze kupata tiba lazima ukubali kwanza kutibiwa,you never know unaweza kupona katika kile unachokiona kukipuuza.Ninamtia moyo Dada azidi kupambana kutafuta tiba,tena katika magonjwa mepesi kupona katika dawa za mimea ni pamoja na vimbe kwenye kizazi!!
 
Hongera dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…