Nashukuru sana.πIli kupata wateja wengi hakikisha unazingatia;
Usafi
Lugha nzuri Kwa wateja (Customers care)
Uaminifu
Kujitangaza
Kufanya ukarabati wa mara Kwa mara Kwa kubadirisha vitu ambavyo vinakuwa vimeharibika mfano taa/charging socket n.k
Wahudumu wakike wengi ni waaminifu japo sio woteNashukuru sana.π
Nitajitahidi kufanya haya.
Samahani kwa maswali mkuu ila naomba unijuze changamoto za kujiandaa kukutana nazoπ
Nafikiria kuweka wahudumu wa kiume ila wengi wanashauri niweke wadada.Wewe unasemaje mkuu?
Unapewa connection ya mtotoNaomba anayejua maana ya chimbo anijulishe wakuuπ
Swali la mwisho mkuuπWahudumu wakike wengi ni waaminifu japo sio wote
Wahudumu wakiume wanajua kutunza Siri
π π Mimi binti sayuni mjukuu wa maria magdalena ntaendaje nyumba za wageni angali mimi ni mkazi wa kudumiUlivyocheka inaonesha na wewe hujawahi bado kuongia guest kama mimi tu ππππ
Babu,u hali gani?Niletee Kiko hapo sebuleni nikusimulie zaidi Mjukuu π€
Sijambo Mjukuu, unaendeleaje?Babu,u hali gani?
Kesho kaa standby nakuletea zawadi ya ugolo kutoka oldonyo lengai uvute kwenye kiko chako babu.Sijambo Mjukuu, unaendeleaje?
Naona umenisusa Babu yako
Akiingia auaweNi marufuku mwanamke mfupi mweusi kuingi..
Hayo ndiyo maneno Mjukuu, ukija uje na mwanasheria wako kabisa nataka niandike will nikukabidhi mashamba yangu yote yawe Kwa jina lako π€πKesho kaa standby nakuletea zawadi ya ugolo kutoka oldonyo lengai uvute kwenye kiko chako babu.
ππππ sawa babu,nitafanya hivyoHayo ndiyo maneno Mjukuu, ukija uje na mwanasheria wako kabisa nataka niandike will nikukabidhi mashamba yangu yote yawe Kwa jina lako π€π
Kivipi Mkuu?Huku sumbawanga bhn guest ni 5000 lakini unakuja na chumba chakoπ
Kwa kuwa Babu yenu napenda mazoezi Wacha nifanye kabisa ποΈποΈποΈππππ sawa babu,nitafanya hivyo