Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Ili kupata wateja wengi hakikisha unazingatia;

Usafi
Lugha nzuri Kwa wateja (Customers care)
Uaminifu
Kujitangaza
Kufanya ukarabati wa mara Kwa mara Kwa kubadirisha vitu ambavyo vinakuwa vimeharibika mfano taa/charging socket n.k
Nashukuru sana.🙏
Nitajitahidi kufanya haya.

Samahani kwa maswali mkuu ila naomba unijuze changamoto za kujiandaa kukutana nazo🙏

Nafikiria kuweka wahudumu wa kiume ila wengi wanashauri niweke wadada.Wewe unasemaje mkuu?
 
Nashukuru sana.🙏
Nitajitahidi kufanya haya.

Samahani kwa maswali mkuu ila naomba unijuze changamoto za kujiandaa kukutana nazo🙏

Nafikiria kuweka wahudumu wa kiume ila wengi wanashauri niweke wadada.Wewe unasemaje mkuu?
Wahudumu wakike wengi ni waaminifu japo sio wote

Wahudumu wakiume wanajua kutunza Siri
 
Kama una vitu vya thamani kama pesa mkabidhi dada wa mapokezi kama ukiibiwa mmiliki hatohusika na chochote
 
Wahudumu wakike wengi ni waaminifu japo sio wote

Wahudumu wakiume wanajua kutunza Siri
Swali la mwisho mkuu🙏
Siulizi tena.
Watu wengi wanashauri eti niweke na bar ndio biashara itaenda vizuri ila binafsi sipendi kila kitu kuhusu bar hasa yale makelele na kudeal na walevi sitaweza so kwani Lodge ikiwq kwenye mazingira tulivu bila hayo mambo sitauza?
 
Ulivyocheka inaonesha na wewe hujawahi bado kuongia guest kama mimi tu 😜😜🏃🏃
😅😅Mimi binti sayuni mjukuu wa maria magdalena ntaendaje nyumba za wageni angali mimi ni mkazi wa kudumi
 
Kesho kaa standby nakuletea zawadi ya ugolo kutoka oldonyo lengai uvute kwenye kiko chako babu.
Hayo ndiyo maneno Mjukuu, ukija uje na mwanasheria wako kabisa nataka niandike will nikukabidhi mashamba yangu yote yawe Kwa jina lako 🤗😜
 
Hongera sana mkuu, Muda kuisha kwa fedha ya mtu kwa siku hiyo ni muhimu sana pia idadi ya watu kwenye chumba kuna watu wanatoka mikoani wanataka kupanga chumba kimoja watu 5
 
Back
Top Bottom